Tumekumbwa na janga idara ya uhamiaji

Kidogo chetu

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,432
992
Kwa muda wa wiki nzima sasa fomu za maombi ya hati za kusafiria (passport application forms) hazipatikani kabisa, nimejaribu kwenda kurasini makao makuu ya uhamiaji, Kinondoni, Ilala, Temeke na uhamiaji mkoa wa Dar es salaam kote jibu ni moja zimeisha .

Nimejiuliza sana inakuwaje form hizo ambazo ni printable wala haziagizwi nje zikosekane ? kama hapa kwenye kitovu cha nchi hali ni hivi sijui pembezoni kama Songwe, Njombe katavi na Rukwa hali ikoje. hii ndio serikali ya magufuli inayojinasibu kuwa haifannyi kazi kwa mazoea!!!.

Bahati nzuri waziri mwenye dhamana na idara hii Mh Mwigulu Nchemba ni mwenzetu hapa JF karibu utueleze tatizo ni nini
 
Back
Top Bottom