Tumekuchoka diwani kariakoo

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,381
4,648
wana jamvi bila shaka mnamfahamu aliyewahi kuwa meya wa ilala ABUU JUMAA.mtu huyu ni dwani kwa tiketi ya CCM maeneo ya kariakoo.mheshimiwa huyu toka mimi sijaanza kusoma shule ya msingi mpaka leo mtu mzima na familia yangu bado DIWANI takribani miaka 30 iliyopita kusema kwamba hakuna mtu mwenye uwezo wa kuwa diwanimaeneo ya kariakoo au?
 
unafiki. kwa nini ulimpa kura kama ulikua unalifahamu hilo? Mbona wakati wa kumpa kura hukutaka ushauri wetu?
 
Tuwasaidie vipi sasa wakati wote nyie mna akili mgando. Najua wakazi wa K'Koo ni wajanja na kila siku mnasema kukaa K'Koo tu ni sawa na kuhitimu kidato cha sita. Kumbe bado mnajua rais wa Tanzania ni mwl. Nyerere!! Shame on you!
Mwache Mzee Abuu Jumaa apete kwa migongo yenu!
 
Back
Top Bottom