Tumekubali. Tutakukumbuka Rais wetu John P Magufuli

Sisi MATAGA Mama tutaanza kumsifia lini ili CCM iendelee kutawala tuendelee kukosa maji na umeme?😁😁😁
 
Unafikiri mimi nimeishia darasa la pili kama wewe unayekariri kama kuku

Hujui mipango kufikia maendeleo inatakiwa vipi,
Hujui kuwa njia ya kufikia maendeleo unatakiwa kujinyima na kubana bajeti kwenye baadhi ya mambo,

Unadhani hela zinaokotwa kutoka mbinguni.

Wazazi wako wana hasara walipeleka mbuzi shule baada ya kuuza mwengine..
Bora wangezaa tikiti mama yako angekula na daktari
Akafanya maendeleo yapi!?? Wenzie waliokuwa wanajenga nchi na kuajiri na kulipa mishahara walikuwa wapumbavu!?? Wewe kenge tu you have never been to school thus why you support tyrant ruler!!! Fxck you!!!
 
JP Magufuli ndiye rais mzalendo sana amewahi kuongoza taifa hili baada ya JK Nyerere. Magufuli alisimamia ukweli bila kumwogopa mtu yeyote. Hadi sasa bado hatujapata rais, tunacheza taarabu tu.
 
Kwani Samia kamaliza mda wake? Miaka yote 6 alifanya nini cha maana?

Alisema reli Dar moro ingekamilika ndani ya miaka 2 ,ilikamilika? Bwawa ndani ya miaka 3 ndio kwanza hadi anakufa mradi ulikuwa umechelewa kwa zaidi ya mwaka na uongo mwingine wa kipuuzi .
Una akili fupi sana.
 
Akafanya maendeleo yapi!?? Wenzie waliokuwa wanajenga nchi na kuajiri na kulipa mishahara walikuwa wapumbavu!?? Wewe kenge tu you have never been to school thus why you support tyrant ruler!!! Fxck you!!!
Nimeona sasa kumbe ni kweli kichwani hamna kitu wewe umejaza kitimoto na pombe..

Kwaheri
 
Toka umetutoka hayati rais wa JMT. JPM mambo yamekuwa siyo mambo. Sijuwi tuanze wapi tumalizie wapi.
Umeme ni kukatika hovyo na kila baada ya masaa fulani. Ila wanakusingizia eti ulikuwa hutaki matengenezo wala maboresho! Pia wanadai suluhisho siyo kufukuza watu kwa uzembe au kutokuwajibika bali kubembelezana (January Makamba)! Ndio mzee usishangae karudi kwa kishindo tena anapokezana na mama kwa safari!
Swala la safari kwa viongozi ni kama wamefungulia bomba la maji. Wanaponda maisha kama wanakufa kesho!
Swala la huduma ya maji ndio usiseme mzee. Wanaishi kifalme. Ungekuwepo wangejiongeza kuchimba visima ila haupo wao wamerudia tena kufanya kazi kwa mazoea!
Rasimali na maliasili zinavyoibiwa ndio usiseme. Pale Mererani pamoja na ukuta wao wanapitisha Tanzanite getini!
Mzee yaani nchi inavyoendeshwa ni kama bora liende. Mama ni trips every other day. Hivi hajawahi panda ndege au kwenda mamtoni nini?! Maana kila raia kapigwa na butaa anavyopenda safari aise!
Juzi juzi twiga walionekana wamebebwa kwenye fuso! Wanaenda wapi hatujuwi!
Mzee yale ya kutishiana wanijuwa mie ni nani au nitakupoteza yamerudi mzee!
Yaani tuliowachaguwa na kutumwa watutumikie imekuwa nongwa. Wamekuwa miungu mitu!
Hivi mzee tukimuomba mwenyewe muumba kweli hawezi kukurudisha hata kwa miaka michache urekebishe jahazi?!
Nilisangaa sana sana kwa kauli mbili tofauti zikitolewa na watu wawili tofauti ( waziri na mkurugenzi wa TANESCO ) kuhusu suala moja la ukatikaji wa mara kwa mara wa umeme, nikakumbuka enzi ya Mwl Julius Nyerere kama wote wawili wangekuwepo ofisini mpaka sasa.
 
Kweli wewe ndio lwapugile kabisa, hovyo....hata kama alikutendea jambo baya, hujaona mazuri yake? Kwahiyo wewe waona madhaifu yake tu.Mazuri hakufanya sio? Kafanya mzee wa watu acha apumzike
Kuna watu ni wajinga Sana nchi hii.Nakumbuka hotuba ya mwanzo kabisa ya Samia alihoji Kuhusu kujengwa ukuta na kuweka wanajeshi juu lakini bado tanzanite zinaibwa.😂😂..

Boresha mazingira ya hiyo biashara,wizi haukuwahi kuisha toka Mwendazake zake wenu yupo na unfortunately zama za giza hakuna chombo cha kuthubutu kutoa taarifa zaidi ya pambio za mtukufu.

Kwangu Mwendazake ni moja ya Marais wa hovyo kabisa kuwahi kutokea ndio maana hakuna kitu alikamilisha zaidi kushika huku na kule .

Mgao wa umeme ni mfano wa akili fupi aliyokuwa nayo.How comes uanzishe ujenzi wa Bwawa ambalo hujui litaisha lini na hakuna backup ya umeme kwenye dharura kama ukame? Huoni amelazimisha nchi kurudi kwenye majenereta wakati alikuwa na fursa ya kuondoa hilo?

Wivu na uongo eti gas ni ya mabeberu,stupid .
 
Kweli wewe ndio lwapugile kabisa, hovyo....hata kama alikutendea jambo baya, hujaona mazuri yake? Kwahiyo wewe waona madhaifu yake tu.Mazuri hakufanya sio? Kafanya mzee wa watu acha apumzike.

Mabaya yanavuma Sana kuliko hayo mazuri ambayo yako exergeratedd
 
7EF87267-8073-4914-B9F8-ACF39D118DE7.jpeg
 
Toka umetutoka hayati rais wa JMT. JPM mambo yamekuwa siyo mambo. Sijuwi tuanze wapi tumalizie wapi.
Umeme ni kukatika hovyo na kila baada ya masaa fulani. Ila wanakusingizia eti ulikuwa hutaki matengenezo wala maboresho! Pia wanadai suluhisho siyo kufukuza watu kwa uzembe au kutokuwajibika bali kubembelezana (January Makamba)! Ndio mzee usishangae karudi kwa kishindo tena anapokezana na mama kwa safari!
Swala la safari kwa viongozi ni kama wamefungulia bomba la maji. Wanaponda maisha kama wanakufa kesho!
Swala la huduma ya maji ndio usiseme mzee. Wanaishi kifalme. Ungekuwepo wangejiongeza kuchimba visima ila haupo wao wamerudia tena kufanya kazi kwa mazoea!
Rasimali na maliasili zinavyoibiwa ndio usiseme. Pale Mererani pamoja na ukuta wao wanapitisha Tanzanite getini!
Mzee yaani nchi inavyoendeshwa ni kama bora liende. Mama ni trips every other day. Hivi hajawahi panda ndege au kwenda mamtoni nini?! Maana kila raia kapigwa na butaa anavyopenda safari aise!
Juzi juzi twiga walionekana wamebebwa kwenye fuso! Wanaenda wapi hatujuwi!
Mzee yale ya kutishiana wanijuwa mie ni nani au nitakupoteza yamerudi mzee!
Yaani tuliowachaguwa na kutumwa watutumikie imekuwa nongwa. Wamekuwa miungu mitu!
Hivi mzee tukimuomba mwenyewe muumba kweli hawezi kukurudisha hata kwa miaka michache urekebishe jahazi?!
Nenda kagalegale kaburini kwake atarudi.
 
Lkn ktk utawala wake walikuwepo wababe kina Sabaya,Makonda nk.Mnajua walichokuifanya nchini.
 
Back
Top Bottom