nyambari
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 355
- 171
maamuzi tuliyofanya wewe,mimi pamoja na watanzania wengine jumapili iliyopita yanaweza kuwa ndo hayo yametangazwa na nec kuanzia jumatatu iliyopita na yakahitimishwa na ya urais nasema yanaweza kuwa hayo kwani sina uhakika kama kweli matokeo ya majimbo yote yalikuwa sahihi kutokana na dosari zilizojitokeza katika mchakato mzima wa kutangaza matokeo hasa sehemu zile zilizokuwa na upinzani mkali hasa sehemu za mijini mfano dar majimbo kama ubungo kulizuka mtafaruku mkubwa lakini tume wakadai ni sababu za kuwa na uwingi wa watu pamoja na miundombinu kutokuwa mizuri hii haingii akilini tunaomba nec wajipange vizuri katika chaguzi nyingine zitakozofuata jamani hata wakenya wanatushinda ?