tumekubali: nec zifanyieni kasoro zilizotokea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tumekubali: nec zifanyieni kasoro zilizotokea

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by nyambari, Nov 7, 2010.

 1. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  maamuzi tuliyofanya wewe,mimi pamoja na watanzania wengine jumapili iliyopita yanaweza kuwa ndo hayo yametangazwa na nec kuanzia jumatatu iliyopita na yakahitimishwa na ya urais nasema yanaweza kuwa hayo kwani sina uhakika kama kweli matokeo ya majimbo yote yalikuwa sahihi kutokana na dosari zilizojitokeza katika mchakato mzima wa kutangaza matokeo hasa sehemu zile zilizokuwa na upinzani mkali hasa sehemu za mijini mfano dar majimbo kama ubungo kulizuka mtafaruku mkubwa lakini tume wakadai ni sababu za kuwa na uwingi wa watu pamoja na miundombinu kutokuwa mizuri hii haingii akilini tunaomba nec wajipange vizuri katika chaguzi nyingine zitakozofuata jamani hata wakenya wanatushinda ?
   
 2. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Mi naona hao wameshakuwa na mazoea. Itakuwa bora Tanzania tukiwa na tume huru ambayo itaweza kufanya kazi bila upendeleo wala woga.
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Wakenya lazima watushinde walichukua maamuzi magumu, yakupinga matokeo, watu walimwaga damu na kupoteza lakini wamepata nini? Wamepata katiba mpya iliyoundwa kwa kushirikisha wananchi. Na Ocampo anaendelea na uchunguzi. Rigging elections nadhani Kenya ndio itakuwa bye bye.
   
 4. DECRO

  DECRO Member

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo ni kwamba tume ya uchaguzi kila mwaka inaundwa in favour of serikali iliyopo madarakani. inabidi vyama vyote vikae chini vipendekeze muundo wa tume.
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Issue sio nec kujirekebisha bali iundwe tume huru ambayo haitokuwa na mamluki wala kujipendekeza kwa ccm. Ofcoz ni kitu kigumu kwa nchi nyingi za kiafrika hasa Tanzania.
   
Loading...