Tumekubali kuolewa,kwa nn tuvae pensi ya jinzi?.

HGYTXK

Senior Member
Oct 3, 2011
194
70
Inasikitisha sana kuona watanzania kuwa ni wepesi sana wa kulalamikia hali ngumu tulonayo na udhalimu tufanyiwao na viongozi wetu ilhali tunashindwa kutimiza hasira zetu kwenye sanduku la kura.Natamani siku moja vyama vya upinzani visiweke wagombea kwenye uchaguzi mkuu ili tutiwe adabu na watawala,tupunguze lawama kama hatutaki kupiga kura.TANZANIA NI NCHI YA AJABU SANA.
 
natamani sukari kilo 1 iwe 100,000

unga kilo 1 - 50,000

chumvi kilo 1 - 80,000

mafuta ya kupikia lita 1 - 200,000

bill za umeme na maji kwa mwezi ziwe 2,000,000 @

na vinginevyo hapo ndo tutakapoamua vizuri.
 
natamani sukari kilo 1 iwe 100,000

unga kilo 1 - 50,000

chumvi kilo 1 - 80,000

mafuta ya kupikia lita 1 - 200,000

na vinginevyo hapo ndo tutakapoamua vizuri.

Ni kweli mikatabafeki,hii nchi sijui imepewa laana gani.Maana ni wepesi kulalamika na wepesh wa kusahau.Natamani ata hii hali ngumu iwe maradufu vijijini ili watambue kuwa watu wa mjini wanawatakia mema na si vita kama wanavyodhani.
 
Msije mkafanya kosa la kuchanganya TANZANIA na SERIKALI YA TANZANIA. Kuna tofauti kubwa hapo ila naona mmemtupa jongoo pamoja na mti wake... you still have to stand for your country
 
Kweli kabisa kila kitu kiwe juu ndio tutajifunza ,maana kila siku wananchi wanalalamika hali ngumu halafu wao ndio wa kwanza kukumbatia udhalimu.
 
Inasikitisha sana kuona watanzania kuwa ni wepesi sana wa kulalamikia hali ngumu tulonayo na udhalimu tufanyiwao na viongozi wetu ilhali tunashindwa kutimiza hasira zetu kwenye sanduku la kura.Natamani siku moja vyama vya upinzani visiweke wagombea kwenye uchaguzi mkuu ili tutiwe adabu na watawala,tupunguze lawama kama hatutaki kupiga kura.TANZANIA NI NCHI YA AJABU SANA.

Kwa aina ya wapinzani hawa, bora huyo mtawala katili (kama yupo).
 
ukiwawaza sana watz unaweza kujiua. Hebu waangalieni wana igunnga wanadai wamekuwa wanakunywa maji yanayofanana na maziwa, hii ikimaanisha miaka 50 toka uhuru. lakini juzi wamewaleta walewale waloshindwa kazi madarakani.

kesho utawasikia oooooooooo1, maisha yamekuwa magumu viongozi wetu hawatujali n.k.
 
Wamewachagua wale ambao wanaona wana dhamira ya dhati sio wengine ambao wana uroho wa madaraka na kujali udini na ukabila na ukanda
 
Nimekubaliana na wewe kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. 100%
 
Wamewachagua wale ambao wanaona wana dhamira ya dhati sio wengine ambao wana uroho wa madaraka na kujali udini na ukabila na ukanda
yaani wetu wengine wehu kweli, CCM ndo wanaeneza hizo madudu yote unayoyasema, na tena inasema kwa watu wa vijijini ambao hawajui kitu, Jiulize ni kwa nini ccm huwa inashindwa mjini na kupata kura za vijiji?
 
Awareness haitokei ghafla,bado safari ipo ya kuelekea mabadiliko nionavyo mimi, hali ya sasa kidogo inatia moyo si kama 2000 na 1995 tulipoambiwa kuchagua upinzani ni kuleta vita.
Tuna mia miaka 17 tu tangu tuingie mfumo wa vyama vingi,tunakoelekea ni kuzuri muhimu sisi wadau wa mabadiliko badala ya kulalamika tuumize vichwa kuona nini cha Kufanya ili kulisaidia taifa hili kufikia mabadiliko ya kweli na tusiwe waroho,wanaweza kufaidika watoto au wajukuu zetu.muhimu tuweke misingi ama tupande mbegu nzuri za mageuzi ya kweli.
ile dream ya Luther King imekuja kutokea miaka mingi sana baada ya yeye kufariki.
Tanzania yenye mabadiliko inakuja, na si mda mrefu chukua tu hatua na wewe sio kuwalalamikia watanzania wakati na wewe si Mkorea
 
natamani sukari kilo 1 iwe 100,000

unga kilo 1 - 50,000

chumvi kilo 1 - 80,000

mafuta ya kupikia lita 1 - 200,000

bill za umeme na maji kwa mwezi ziwe 2,000,000 @

na vinginevyo hapo ndo tutakapoamua vizuri.
Kuanzia sasa hakuna kusaidiana na maskini/wenye uchumi duni.
Waelekezwe kwa serikali yao! Ukiombwa hata bakuli la unga waambie waende kuomba serikali yao.
Kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe! Tunataka watu wale jasho lao. Tuone kama watu hawatajihoji na kuhoji. Tunataka BONGO zipasuke kila mmoja aione hali ya uchumi kiukweli. tusije kuwa CDM tunawadanganye.
Hakuna kusaidiana kazi ya serikali ni kuhakikisha maisha bora kwa watu wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom