Kwanini kauli ya Vilaza aliotolewa na Mhe.Rais inachukuliwa ndivyo sivyo?kama ni issue ya UDOM ukiingia kwenye maofisi ya UMMA na hata ya binafsi hakuna mtumishi aliesoma UDOM anafanya kazi anazaidi ya miaka 8?Rais angetolea mfano kama UDSM ndio ingekuwa issue maana Chuo kile kina watu waliostaafu kazi tayari walisoma pale kwahiyo kwa kusema Taifa la vilaza nadhani angalau ndie ingekaribia ukweli lakini kachuo kale hata bado akajabaree kasababishe Taifa zima liitwe vilaza sio kweliKwema wakuu..!?
Inamaana kuanzia ngazi za juu hadi chini wote sisi tuko hivi jamani,na kama ni hivyo nani wakutunusuru.!?
Mmh inasikitisha sana, ni utani au kweli.?
Karibu katika katuni leo
Asante mkuu kwa uchambuziKwanini kauli ya Vilaza aliotolewa na Mhe.Rais inachukuliwa ndivyo sivyo?kama ni issue ya UDOM ukiingia kwenye maofisi ya UMMA na hata ya binafsi hakuna mtumishi aliesoma UDOM anafanya kazi anazaidi ya miaka 8?Rais angetolea mfano kama UDSM ndio ingekuwa issue maana Chuo kile kina watu waliostaafu kazi tayari walisoma pale kwahiyo kwa kusema Taifa la vilaza nadhani angalau ndie ingekaribia ukweli lakini kachuo kale hata bado akajabaree kasababishe Taifa zima liitwe vilaza sio kweli
HUO NI UTANI HAHAHAHAHAH!Kwema wakuu..!?
Inamaana kuanzia ngazi za juu hadi chini wote sisi tuko hivi jamani,na kama ni hivyo nani wakutunusuru.!?
Mmh inasikitisha sana, ni utani au kweli.?
Karibu katika katuni leo