Tumekosana na mke wangu muda huu, mchana huu tumeshinda njaa kwa ujinga wake

Mnaendeleaje? Kisa ni nyama robo kilo tu, nimenunua mboga asubuhi kwenye moja ya mabucha hapa mtaani. Nikamkabidhi aitengeneze kwa ajili ya mchana na jioni.

Sasa mchana wakati tunakula ikatokea upunjaji. Yaani yeye akataka ale vipande vingi kuliko mimi. Mimi nilitaka tule sawa sawa. Sasa mwenzangu alichukia.

Wakati nagawanya kati kati kipande kimoja ili tupate 3.5 kwa kila mmoja, naona ananisonya. Ikabidi nimnase kibao kwa hilo, kwa hasira ugali akaususa.

Sikuwa na jinsi ikabidi nianze kula, sasa tukaanza kunyang'anyana nyama. Yeye anataka ale vitano mimi viwili. So akamwaga mboga yote kutoka mezani. Na chini hapakuwa safi sana, so tukaitupa.

Tumeshinda njaa tunausubiri usiku, ila nimeapa nitakuwa napika mwenyewe mboga hasa nyama kuanzia leo.

Na hapa 2000 yangu siioni, ilikuwa juu ya droo. Yaani hela zangu anatumbua hovyo hovyo mno. Kaenda kununua chips.

Hivi namrudishaje kwao akajifunze? Ninataka akakae week 2. Utaratibu upoje?
Unacho paswa kujua ni kuwa wanawake ni wabinafsi.
 
Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
 
File lako Mirembe lipo chini ya file la ndugai
 
Mna matatizo ninyi.Mnagombea chakula?Hata hivyo,kitaalamu tunashauriwa kwamba tunapotaka kupima utu,ustaarabu na uvumilivu wa mtu unamsubiri akiwa na njaa.
 
Back
Top Bottom