Seif Kazige Mbambizi
Senior Member
- May 7, 2016
- 135
- 92
Leo mwezi wa 5 2016 serikali ya mkoa wa tabora bado in asema changia dawati dogo asikae chini miaka zaidi ya hamsimi baada ya uhuru. Tumekaa chini sana miaka ya tisini shuleni ilikuwa kukaa kwenye dawiti lazima uwe na mabavu ya kutosha kipindi hicho leo hii.
Madini yanachimbwa na mchanga unabebwa kwenda ulaya, gesi inabebwa kwenda ulaya bado tunatakiwa tuchangie dawati dogo asikae chini? Tumekaa sana chini mpaka leo tumekuwa wazazi serikali iliyotukalisha chini sisis haiwezi kuendelea kuwa kalisha chini watoto wetu wakati kodi tunalipa kila siku tunapo nunua bidhaa mbali mbali kodi zetu zina kwenda wapi?