Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,867
Tumegaiza dawa kutibu corona huku tukiwa hatuna wagonjwa na waliopo mpka sasa hawazidi 300 ukitoa waliopona.
Wakati huo tuna vifo 16 tu toka corona iwasili nchini.
Anayeuza dawa kaifunga nchi yake mpka sasa ndani kafanya lockdown na mipaka kaifunga kwa siku zisizojulikana.
Huku kwetu tunapuyanga tukisubiri dawa toka madagasca baada ya maombi, vyungu kugonga mwamba.
Lakini anayetuuzia yeye kajilockdown lakini anadai anazo dawa, yaani una dawa ya malaria na unajifungia ndani kuogopa kuumwa Malaria.
Lakini tusio na dawa tunapuyanga kama kawa.
Je, unalakijifunza juu ya hili?