kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,628
- 1,786
Nakupongeza kiongozi wangu kwa kunijali kwa Kweli Siiijutii kura yangu see you 2020
Kesho soda ya coka ya bariiiiidimaliza chuo kwanza... utasema ukimaliza!
Mkuu nimeagiza kreti la sodaTumia hiyo hela vizuri isije ikaisha hata kabla hujaanza field otherwise utaisoma namba
Basi kuisoma namba kuna kuhusuMkuu nimeagiza kreti la soda
Nashukuru Sana mkuu Karibu soda mkuuKila la kheri mkuu
Mkuu tatizo pesa nilishaipangia bajeti kitambo Wacha ifanye kazi yakeBasi kuisoma namba kuna kuhusu
Aina mbayaFurahi kwa sasa 15% inakusubiri kwa hamu
natafuta mpenzi wa chuo
sifa awe mwaka wa field
Kwani loan breakdown yako Ina state VipiHivi inakuaje coz kama za sheria hamna pesa za field?
Yah mkuuNaona unafurahia kupokea mkopo wako,nategemea utafurahia kuulipa.
chuo gani mkuuNakupongeza kiongozi wangu kwa kunijali kwa Kweli Siiijutii kura yangu see you 2020
Nyanda Za juu kusini apa mkuuchuo gani mkuu