Tumeingiliwa! na nadhani nchi imeshauzwa

Mkamp..si kweli ikiwa tunakataa hili basi tukatae kila kitu umeonawapi?

Pia si kweli eti wanajeshi wakitaka kujifunza eti tunaleta longolongo...it seems huu mjadala mzima hujauelewa. Hakuna anaekataa mwanajeshi kujifunza.

Serikali yetu haipo serious ktk mambo ya elimu na hizo unazozisikia eti scholarship ni elim ndogo ambayo watu tunakuja kuwa watumiaji wa Teknologia.

Uingereza wana chuo cha Military, huwezi amini..Tanzania hupeleka mwanafunzi 1 kwa mwaka au baada ya miaka kadhaa. Hio misaasa unayoisikia si misaada, ni mikopo. ambayo tunakuwa na DENI kubwa. Matokeo yake mafisadi pesa kama hizo za kulipia madeni wanazitafuna.
Ilivyo Huko IMF,WB kuna mafisadi kibao tu..ili usamehewe deni lako, wao huwa wanaaangalia nani anadaiwa sana, wanakuja kuzungumza na viongozi wetu wakuu, wanawaambia sie tutawapigieni debe IMF,WB msamehewe deni..lkn tunahitaji 10% yetu. na hapo ndipo viongozi wetu wanapoweka 10% ..kula kwenda mbele.

Mabadiliko HALISI yatakuja endapo sie tutaanza kuwa serious ktk ELIMU na sio KUENEA KWA BAA KILA KONA. Unaonaje leo hii kila ilipo BAA IWEKWE LIBRARY...kila KONA..m telling you within 5 years hatutakuwa hapa tulipo.

Mie nipo pamoja nawe ila hujapata kunielewa.
wakulaumu sio Bush wa wakujilaumu ni sie wenyewe .
 
njonjo na bomani ni marafiki sana ..kuna kipindi wote walikuwa ma attorney general...pia njonjo ni GOD FATHER wa mmoja wa watoto wa bomani....kwa namna njonjo alivyomshauri kenyatta wakatokomea na mandege na mali za east africa ns umojs ukavunjika ..it tells me ufisadi na usaliti nchi hii umeanza zamani.
kupitia njonjo ...mmoja wa vijana wa bomani..amepewa u DIRECTOR - KENYA COMMERCIAL BANK[TANZANIA]...njonjo anazo hisa nyingi kwenye bank hiyo...inayomilikiwa na serikali ya kenya na wananchi kupitia soko la hisa la nairobi....

..phil,

..nimeshaelewa somo! nilikuwa najiuliza ilikuwaje jamaa kupata kiulaini pale kcb wakati kule standard aliumiza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom