Tumeibiwa TV inchi 32 Goba Dar, hivi hakuna uwezekano wa kuifuatilia huko inakoenda kutumika?

Without a GPS and cellphone tracker hasa kama ulikuwa na huna account NETFLIX hesabu maumivu.

Anyway potezea tu kaTV kenyew kadogo hako..vipi kwenye friji hakukuwa na vitunguu swaumu?
Mkuu nieleweshe hapo kwenye account ya NETFLIX,mm nna ka smart ka VON inch 43 niweze kujihami cku wakipita nako make uwa nasafiri sana
 
Back
Top Bottom