Tumefufua mashine za Muhimbili, vipi hizi screen za TANAPA?

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,944
2,030
Kweli TANAPA imetumia mamilioni kununua haya matv lakini mmeshindwa kuyatunza, mko kwel serious kukuza utalii wa ndani, kama hamuwezi kuyatengeneza pitieni pale impala round about Arusha mkayatoe, maana ni uchafu unaochafua hile bustani.
 

Attachments

  • IMG_20160125_172728.jpg
    IMG_20160125_172728.jpg
    49.4 KB · Views: 18
Back
Top Bottom