Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

Black belts

JF-Expert Member
Jul 27, 2016
1,876
2,000
Magufuli hakumhitaji Kinana wala mjinga yoyote kushinda ule uchaguzi Magufuli alikuwa na mkono wa chuma na ndio uliomrudisha Ikulu.
Huo mkono wake Chuma mbona hajautumia kumzuia malaika mtoa roho, acheni kumtukuza huyo mungu wenu bandia
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,971
2,000
Hasara aliyolitia Taifa hiki Mwendakuzimu Magufuli ni kubwa kuliko hasara yeyote Kuwai kutokea

Kaleta deni la Taifa ni 30 Tril leo tunaona ni 77 Trillion
Kajikwapulia pesa nyingi Kwa kivuli cha uzalendo

Magufuli Kafanya manunuzi hewa mengi kuliko Rais yeyote kuwai kufanya akitaka ten percent zake
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
12,096
2,000
Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni msumbufu na hafai kuwa Rais wa nchi Nyerere aliona mbali sana.

Kosa kubwa la kwanza alilolifanya Kikwete kwenye uongozi wake ni kuiruhusu familia yake kujiingiza moja kwa moja kwenye mamlaka ya Rais.

Tulishuhudia awamu ya Kikwete kijana mdogo kama Ridhiwani kujimilikisha makampuni meengi ya kilaghai na waliokuwa wasaidizi wa Ridhiwani nao kujiingiza moja kwa moja kwenye Utawala wa nchi.

Rais Mstaafu Kikwete aliporuhusu hata marafiki wake wa karibu kuingia kwenye masilahi ya Urais wake kwa njia ya utapeli hali hii imepelekea sasa kuhangaika sana wanapopata mtu ambaye hajali maslahi yao hii ni kwa sababu moja tu wanaendeleza biashara zao za kitapeli kipindi wawapo kwenye mifumo.

Ndio maana Nyerere alisema ni hatari sana kuingiza Ikulu Rais mfanyabiashara hali ikiendelea hivi kuna umuhimu sasa wa kuwa na mgombea binafsi ambaye bila huruma atakuja kuisafisha nchi.
Hivi utamkatazaje mtu aliefikisha miaka 18 asifanye kile kitu anachotaka kufanya kwa hiyari yake?

Yaani eti baba aanze kudhibiti watu wazima above 30 years old wasifanye their own choices?

Like really?
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
3,689
2,000
Statistics ndiyo shule niliyosoma mimi!
Then mwalimu aliyekufundisha kuwa probability inavuka 100% ni mpuuzi au ulikuwa unalala darasani, hivyo ulipata degree ya chupi. Nikufundishe ni kuwa probability ipo kati ya 0 to 100% nasema kati au 0<p<100% au kati ya 0 na 1 Prob: 0<p<1. Ikiwa ni 0 maana yake event will never happen if p is the probability of event to happen. na ikiwa p=1 hivyo hiyo event imehappen. Hakuna probability iwapo ni 0 au 1 maana itahappen au haita happen. Hivyo probability lazima iwe na uncertainilty. Ngoja nikuache dogo ukale viazi
 
Bukali

JF-Expert Member
May 7, 2018
972
1,000
Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni msumbufu na hafai kuwa Rais wa nchi Nyerere aliona mbali sana.

Kosa kubwa la kwanza alilolifanya Kikwete kwenye uongozi wake ni kuiruhusu familia yake kujiingiza moja kwa moja kwenye mamlaka ya Rais.

Tulishuhudia awamu ya Kikwete kijana mdogo kama Ridhiwani kujimilikisha makampuni meengi ya kilaghai na waliokuwa wasaidizi wa Ridhiwani nao kujiingiza moja kwa moja kwenye Utawala wa nchi.

Rais Mstaafu Kikwete aliporuhusu hata marafiki wake wa karibu kuingia kwenye masilahi ya Urais wake kwa njia ya utapeli hali hii imepelekea sasa kuhangaika sana wanapopata mtu ambaye hajali maslahi yao hii ni kwa sababu moja tu wanaendeleza biashara zao za kitapeli kipindi wawapo kwenye mifumo.

Ndio maana Nyerere alisema ni hatari sana kuingiza Ikulu Rais mfanyabiashara hali ikiendelea hivi kuna umuhimu sasa wa kuwa na mgombea binafsi ambaye bila huruma atakuja kuisafisha nchi.
Watamuua maramoja hawa watu wananguvu sana siyo wakutumia nguvu kupambana nao, inahitaji akili kubwa sana.
 
Bukali

JF-Expert Member
May 7, 2018
972
1,000
Wanajaribu kumblackmail mama teh teh teh

Magufuli ndo alikuwa na Nepotism, Ukanda, Udini na Ukabila.

Mwacheni Samia achape kazi, tena namuomba sana mheshimiwa Rais atusaidie kuondoa Udini, Ukabila na Ukanda vilivojiinua sana kipindi cha mwendazake, tunataka kuona watu wa makabila yote, dini zote, kanda zote wenye vigezo wakiwemo katika serikali yake bila kulaliaa upande mmoja
Toa mifano mkuu ya huo ubaguzi kwa faida ya wapiga mapambio waelewe kabisa.
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,891
2,000
Kweli kabisa ishini km Mashetani shetani wenu mkuu kafa! mkitaka mfuateni ahera! Kikwete hata akipiga Cha juu Bongo yeote mwacheni tu!
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,891
2,000
Kweli kabisa ishini km Mashetani shetani wenu mkuu kafa! mkitaka mfuateni ahera! Kikwete hata akipiga Cha juu Bongo yeote mwacheni tu!
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,891
2,000
Hasara aliyolitia Taifa hiki Mwendakuzimu Magufuli ni kubwa kuliko hasara yeyote Kuwai kutokea

Kaleta deni la Taifa ni 30 Tril leo tunaona ni 77 Trillion
Kajikwapulia pesa nyingi Kwa kivuli cha uzalendo

Magufuli Kafanya manunuzi hewa mengi kuliko Rais yeyote kuwai kufanya akitaka ten percent zake
Mpaka Mungu alikasirika! akaona hakuna jinsi afe tu!! kaiba weee!! mpaka akaogopa mwenyewe! sasa anatumikia adhabu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom