Tumefika hapa kuomba kibali cha kuweka jenereta

Sawa waache wainyoshe inchi maana ilikuwa imepinda .
Tafadhali msitoe povu kwa kunilaumu ila Nimejaribu kukomenti kwa kutumia maneno yaliyotumiwa na watu wengine ili kuonesha kuwa tupo kwenye raiti traki
 
Tunakoelekea hata eneo la kuanikia nguo hapo home itabidi ulipie :oops::oops::oops:
Hata kama unaanika nguo zako kwenye jua uani kwako, hicho ni kiwanda cha kukausha nguo. Sasa kwanini unataka usilipie?
Embu kuwa mzalendo kwanza na kubali kulipa kodi.
 
Nadhani jenereta ingechukuliwa kama gari au mashine nyinginezo. Kodi tayari zinalipwa kupitia mafuta. Kwanini kuwe na kodi nyingine ikiwa tayari ipo iliyowekwa kwenye mafuta ya kuendeshea jenereta? Kwa hili, natofautiana na aliyekuja na wazo na uamuzi huu
siku hizi unakomenti vitu vyenye maana sana, big up on it nakupa good critical na like za kutosha.
 
Sawa waache wainyoshe inchi maana ilikuwa imepinda .
Tafadhali msitoe povu kwa kunilaumu ila Nimejaribu kukomenti kwa kutumia maneno yaliyotumiwa na watu wengine ili kuonesha kuwa tupo kwenye raiti traki
Tupo vizuri.Tunatembea vifua mbere.Wanaopinga ni wapiga deal!
 
Nadhani jenereta ingechukuliwa kama gari au mashine nyinginezo. Kodi tayari zinalipwa kupitia mafuta. Kwanini kuwe na kodi nyingine ikiwa tayari ipo iliyowekwa kwenye mafuta ya kuendeshea jenereta? Kwa hili, natofautiana na aliyekuja na wazo na uamuzi huu
kama umeishiwa vyanzo vya mapato lazima ufanye ubunifu mwengine
 
Sawa waache wainyoshe inchi maana ilikuwa imepinda .
Tafadhali msitoe povu kwa kunilaumu ila Nimejaribu kukomenti kwa kutumia maneno yaliyotumiwa na watu wengine ili kuonesha kuwa tupo kwenye raiti traki
ananyoroshaaa anapindisha?
 
Back
Top Bottom