Tumedhubutu hatujaweza na tunarudi nyuma

Apr 11, 2011
14
5
Ndugu zangu tunapokaribia kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa taifa tunaunganishwa kwa kauli mbiu isemayo "TUMEWEZA, TUMETHUBUTU NA TUNASONGA MBELE". Lakini mimi naiona labda ingekuwa "TUMEDHUBUTU HATUJAWEZA NA TUNARUDI NYUMA" kwani kuna changamoto nyingi sana bado hatujaweza japo tumethubutu na kibaya zaidi tunarudi nyuma.
[h=6][/h]
 
Hatakuthubutu hatujathubutu achilia mbali kuweza na kusonga nyuma!
 
Enzi wa viongozi waliotuletea uhuru huu tulionnao walidhubuti sisi tume dhubutu pia, unajua kuna kudhubutu mara mbili au zaidi inategemea na mtafasiri wa neno dhubutu, kuna kudhubutu kujaribu kufanikiwa na kuna kudhubutu kumfelisha mtu sasa sisi kweli tumedhubutu na tumefanikiwa kama lengo letu lilikuwa kuifelisha nchi, tumefanikiwa na ole wake atakaesema tusonge mbele kuifelisha nchi hukumu yake itakuwa kuu mbele za macho ya Allah
 
na sie tunajitakia wenyewe, kwanini tusiandamane kumtoa jk na serikali yake! Tunajua kulalamika tu. Eti upinzani imara, hakuna lolote. Wacha jk atanue as long as anaowaongoza wamelala.
 
Back
Top Bottom