Tumechoka na post zenu Za vita vita Hivi hamna kazi Za Kufanya

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,601
1,171
Rejea Habari hapo juu muda mnaopoteza kupost post nyuzi za vita vita ebu Kila mtu ajishugulishe na shuguli itayo mwingizia japo 500. Na hasa nyie muanojiita team korea. Yenu yanawashinda
 
Bob asaivi vita ndo issue inayotrend duniani kwasasa unadhani watapost nini sasa... lazima tuhuzane wengine Radio hatusikilizagi humu ndo tunapata newz alafu kama kupata izo jero jero wenzio tumezipata Mchana asaivi tunaangalia Dunia inaendaje... labda kama wewe kazi zako hazikuruhusu humu SEPA usingekuwepo humu
 
Kama vipi wapotezee tu, si lazima kusoma kila kitu.

Kama vipi washa vita kwenye post za vita.

Granted, kuna watu wanaweza ushabiki usio kichwa wala miguu.

Lakini uhuru wa kujieleza tulionao JF unaruhusu hayo pia.
 
Kama upo night shift waache wenzio ambao hawapo night shift waenjoy na bando zao bana, na inakuwaje upo night shift unapata muda wa kuingia JF????
 
Back
Top Bottom