Tumechoka kuumizwa!

why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!

Wewe nani kakuteua kuwa msemaji wa wanawake?

Na kwani wanawake wao hawaumizi? Manake wamejaa full usanii halafu ukiwauliza vipi kuhusu Fulani na Fulani unaambiwa ‘we are just friends'. Hamna lolote nyie.
 
Hahaha!!! NN brother nimecheka kweli hapa nilipo
 
Sina uhakika kama unaongelea kuumizwa katika ndoa au katika illegal love making!
 
I'm sick and tired of these one sided attacks from these people.

They go around portraying this innocent and wholesome persona when in actual fact they are just as bad as men are.

It's about time to start dispensing some too much truth up in here.

ILA NI KWELI NN WANAUME NI WAONGO, My viewpoints are based on what I have seen and observed and the different kind of liars I have met so far!
 
cheni bandia pesa bandia,lol!
Wewe nani kakuteua kuwa msemaji wa wanawake?

Na kwani wanawake wao hawaumizi? Manake wamejaa full usanii halafu ukiwauliza vipi kuhusu Fulani na Fulani unaambiwa ‘we are just friends’. Hamna lolote nyie.
 
Fine! You are entitled to your opinion as I am entitled to mine. I, too, have met a gazillion of women who are pathological liars.
Mimi huwa nashangaa sana they think they are the only creatures in this world who every now and then we should feel sorry for them as if they are angles that they don't cheat or hurt us as well au kwavile sisi huwa hatuongei na tunapiga kimya basi inaonekana kwamba huwa hatuumiziwi na wao.
 
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!

Shosti mbona haya mambo yakawaida hasa dunia yetu ya leo,ukiwanae usipende ukajimaliza penda pole pole uwe muoga kufungua moyo wote,kama hayo uyawezi utaishia kufanywa kiti cha snema kila anaekuja anakalia akili kichwani mwako......
 
Mimi huwa nashangaa sana they think they are the only creatures in this world who every now and then we should feel sorry for the as if they don't hurt us as well au kweli vile sisi huwa hatuongei na tupiga kimya basi inaonekana kwamba huwa hatuumiziwi na wao.

Man I tell ya! These people cheat left, right, and center and then they turn around and cry this, that, and the third...That trick ain't gonna cut it this time.
 
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!

Demu wangu kwenye simu yake amesave namba yangu Sweet, halafu kuna sweet1, sweet2, sweet3 mpaka sweet mpaka 15 hivi.
Je, na nyie hamuwaumizi wanaume? acha uongo Millen tena mwanamke mwenye wivu kama wewe ndiyo tabia yako ya kurundika wanaume kama karanga!
 
hahahaaa.....mbona mambo!!!
 
huyu mwanajamii ameshindwa kuelewa haya mambo ya mapenzi, sio wanaume tuu hata wanawake wanaumiza, kwan wapo wanawake walio waumiza wapenzi wao wa kiume, na pia wanaume waliowaumiza wasichana wao.
Alaf sio kwamba wote wanaumizwa, wengine wanaenjoy to the maxmum.

Acha bias pande zote zinaumizana, but inategemea na wewe ulivyo bahatika au la ...

sawa Millen?
 
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!

in red, we unajali nini??kuwekwa mjini au??
kwa sababu hatutoi machozi ndio unafikiri na sie hatuumii, huwa tunalilia kifuani wewe...acheni kutuumiza bana
 
Dah wote waongo ila watoto wa kike wanabeba bendera jamani ni viongo mpaka basi,wacha tuumizane tu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom