Tumechoka habari za simba na yanga

Northern empire

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
358
459
Yaan tangia juzi ukiangalia habari humu ni simba sijui yanga sijui hirizi sijui manulaa yaan hata mambo ya maana hayajadiliwii . Mpira wenyewe hata hauna lolote . Acheni ujinga huu wa kugadithiana. Kama mmeuona wote af kutwa kubishana humuu ndo nini? Acheni watu wawaze menginee. Matim yenyewe hayana uwezo baas kutukeraa tuu humuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamesemwa wapi? Habari za Simba na Yanga? Ww ndo uliolianzisha!!! Kwa hiyo limalize mwenyewe
 
Back
Top Bottom