Tumechanganywa mtu na braza ake.

Mr mgeni

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
1,222
803
Habari za mda huu waungwana.

Inauma lakini ndo imeshatokea nimejikuta nikishea dem mmoja na braza bila kujua.Leo ndio nimegundua nilipoenda kwa braza kumsalimia nikawakuta manzi angu na braza wakila denda kavukavu dem alishtuka lakini mimi nikajifanya sielewi chochote kwa sababu huyu braza angu naheshimiana nae kinoma noma.

Roho inaniuma lakini ndio hivyo kaisha kua shemeji tena,na bado ninampenda.
Naombeni ushauri mzuri angalau nipate hata kafaraja ndani ya moyo.
 
Uyo dem shida yakeilikuwa ni kuwapa ngoma ww na bro wako nazani ilo amesha fanikiwa
 
Very simple mkuu ebu fanya kinyume chake kisha jibu utakalo lipata ndio hilo hilo ulifuate
 
Kama naww ulikuwa unampiga denda huyo demu basi ni sawa na kumpiga denda braza wako
 
Back
Top Bottom