Tumebanwa kila kona, Bora tupinge tu kila kitu na kwenda Mahakamani!

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Baada ya kuikana Sera yetu ya Kupinga Ufisadi na kutetea Rasilimali za Umma, kwa sasa ni kama tumefulia sisi UKAWA. Tunajaribu kubuni mbinu tutatokaje na tumeona tufanye yafuatayo;

1. Kupinga kila kitu kwenye taarifa za Serikali na kutafuta hata dosari za Uandishi licha ya mantiki kuwa sawa;

2. Kususia Bunge kwa kuwa hatuna hoja za kuzungumza na kukimbilia Mahakamani kwa madai ya Serikali kuminya Demokrasia;

3.Kufurahia Serikali inapokosa misaada kwa kisingizio cha Uchaguzi wa Zanzibar na Sheria Kandamizi;

4. Kuwaongopea Wananchi kuwa Fulani alishinda Uchaguzi na kunyimwa Ushindi ili tuonewe huruma;

5. Kugeuka watetezi wa Wazembe na Walarushwa kwa kisingizio cha haki za Binadamu na Utawala wa Sheria, kinyume na tuliyoyasimamia huko nyuma;

6. Kupinga lolote litakalofanywa na Serikali kama vile Ujenzi wa Barabara,, Shule, Zahanati, kwa kisingizio kwamba Serikali ilipaswa kufanya hayo miaka ya nyuma na sio sasa;

7. Kufanya vituko vyoyote vitakavyosababisha tuandikwe na kutangazwa kwenye vyombo vya Habari ili wananchi wasitusahau;

Nafikiri labda kwa mikakati hii tutarudi kwenye enzi zetu maana jpm katubana kila kona. Wananchi wamemkubali na uongo wetu wameshaujua! Mabadilikooooooooooooooo!! Ukawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Zungusha mikonoooooooo!!
 
Too low, hivi kwanini Wana CCM wana uono mdogo hivi? Mbona Bunge linaanza kurudishwa live?? Hilo ni moja tu
 
Too low, hivi kwanini Wana CCM wana uono mdogo hivi? Mbona Bunge linaanza kurudishwa live?? Hilo ni moja tu
watu wanadandia tu bila kutumia vichwa,sasa wataachaje kuwa hivyo ndugu yangu!yan wapo mazuzu wanaodhan wailoko humu ni wavyama vya siasa tu!hovyo kabisa..
 
Back
Top Bottom