Tumeachana kwa maneno makali na matusi juu, vipi kuna chance ya kurudiana baadaye?

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
1,714
1,821
Nimeachana na aliekuwa mpenzi wangu lakini hatujaachana kwa amani tumetukanana sana na kutoleana maneno makali ambayo hayafai kuandikwa hapa.

Lakini moyo wangu bado unampenda huyu msichana na nilijitutumua kurushiana naye maneno makali ili asinione zoba maana amezidisha dharau sana kiasi kwamba uwa najuta kumfahamu.

Sasa nilitaka kujua kama kuna uwezekano wa siku za baadaye tukarudisha mapenzi yetu ingawa saivi tushatukanana sana, wenye experience na hii hali naomba mnisaidie.
 
Hainaga makombo, yule dada wa Crdb aliniacha kwa mbwembwe nyiiingi na maneno machafu lukuki, cha kushangaza sasa, pamoja na kwamba alipata mchumba akaolewa ila mtoto wake wa kwanza nimemzalisha na mimba aliyo nayo sasa hivi nina uhakika na maelezo yake kwamba ni ya kwangu. Sitoacha kumkojolea shahawa hadi atakapokuwa tyr kuachana na mimi mazima .To.mba tu hakuna namna
 
Ungekuwa na hekima ungempuuza kwa kukaa kimya bila kumruhusu kukukosea adabu zaidi........wanawake wa siku hizi kutokana na kukuzwa na fikra za kimagharibi bado hawajapoteza ile heshima yao ya asili kwa mwanaume......hakuna mwanamke anayeweza kushindana na mwanaume mkimya ambae hana muda wa majibizano ya kipuuzi. Kujibishana na kutukanana tayari imeshamjenga kisaikolojia kukuona ww kama tatizo au kikwazo katika furaha ya moyo wake. Sasa hata mkirejea utakua unaishi na mbogo aliyejeruhiwa na muda wowote atajiandaa for the next attack.... So my advice ni kama mrudiane at your own risks ( nyote wawili) maana kama mliachana kwa kukoseana adabu hivyo sitarajii kama uhusiano huu wa "SEASON 2: EPISODE ONE" utakuwa na matunda mazuri maana ni muendelezo ya 'PREVIOUSLY ON THIS RELATIONSHIP'

SONY Xperia Z5 Premium
 
Hainaga makombo, yule dada wa Crdb aliniacha kwa mbwembwe nyiiingi na maneno machafu lukuki, cha kushangaza sasa, pamoja na kwamba alipata mchumba akaolewa ila mtoto wake wa kwanza nimemzalisha na mimba aliyo nayo sasa hivi nina uhakika na maelezo yake kwamba ni ya kwangu. Sitoacha kumkojolea shahawa hadi atakapokuwa tyr kuachana na mimi mazima .To.mba tu hakuna namna
Aisee
 
Mmmmmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom