Tumeacha kujadili 'Budget' tumepewa Chalamila tumjadili

Bajeti kubwa kwenye matumizi ya kawaida kuliko miradi ya maendeleo,

Umaskini tupo nao sana tu,

Yaani unapata elfu 10 unakula elfu 9500 unaweka 500 kama akiba.
 
Kujadili bajeti tuwaachie
Babu Tale
Mwanafar
Gwajiboy
M push
Kibajaji and the like
 
Budget imesomwa jana na Waziri wa Fedha asiye na ubunifu, mwenye akili chovu mchama na si mtanzania. Kama Uchawi upo na unafanya kazi Mganga wa Mwigulu ni wa kujengewa Sanamu katikati ya Jiji.

Nchi za watu wenye akili wangetumia muda mwingi sana kuijadili budget. Kuangalia mazuri na mabaya yake. Kupongeza na kukosoa.

Kwa nchi kama ya Tanzania ni rahisi kututoa kwenye reli. Tumepewa Chalamila Tuhangaike naye. Budgeti si issue kubwa sana. Tunamshukuru Mhe. Rais kwa kumwondoa RC Jijini Mwanza.

Binafsi nlisikitika toka siku ya kwanza alipopelekwa Mwanza. Nikasema tumemkosea nini Rais mpaka kuamua kumleta RC Mgonjwa wa akili kama Chalamila?

Leo hii ametenguliwa naona ni jambo jema. Lakini si suala la kitaifa kama la Budget. Hili ni la muhimu sana kujadiliana namna ambavyo wanaona ni bora kuwakata wananchi kodi kwenye Simcard na Kwenye Mafuta. Na tungeangalia athari zake kiuchumi.

Baada ya siku kadhaa Chalamila atakuwa si issuee tena. Lakini suala la budget tunaweza kaa nalo Mwaka Mzima au miaka na athari zake ni kubwa sana. Tusiache kutumia akili zetu.
Tulipigwa chenga kali sana
 
Pathetic
Huo ujinga wa watanzania Ndio umeanza Sasa? Mbona kipindi cha Samwel Sitta na Anna Makinda watu walikuwa wanafuatilia sana bunge kabla ya dhalimu kuiingia madarakani, na kuanza kunajisi chaguzi na kufanya Mihimili kibogoyo? Ama ulianza kufuatilia siasa kipindi dhalimu ameingia madarakani?
 
Burdani inaongeza hata siku za kuishi hayo mastress ya Bajeti hata tukilalamika hakuna kitakachobadilika
Kwa hiyo kumbe hata suala la Katiba hamna haja ya kulalamika. Hakuna kitakachobadilika?

Hizi tozo mpya hakuna haja ya kulalamika hakuna kitakachobadilika.

Mama anaupiga mwingi sana
 
Baada ya hizi tozo ,

TRA wataanza Tena kutangaza walichokusanya.
 
Back
Top Bottom