Tume zilizoundwa in 2012 na matokeo yake

A

arigold

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
600
Points
250
A

arigold

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2011
600 250
Hivi kuna mtu anayo list ya tume zilizoundwa toka mwaka huu 2012 ulipoanza.

zipo kwenye mtandao upi wa serikali?
kwa gharama za kiasi gani?
mapendekezo yepi yalitolewa?
yepi yametekelezwa mpaka sasa?

Tutegemee tume zipi mwakani 2013?
 
K

kisimani

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
550
Points
170
K

kisimani

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
550 170
Kamati za harusi, ikipita imepita
 
PRINCE CROWN

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
4,688
Points
2,000
Age
43
PRINCE CROWN

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
4,688 2,000
Ndg wana jf wenzangu,

Nachukua fursa hii kutoa yangu ya moyoni kuusu tume zinazoundwa kila kukicha hapa nchi kwetu Tanzania.Sikatai tume wala sipingi tume ila nina pingana na katabia kaliko zoeleka ka kuunda tume hata mahali pasipo hitaji uchunguzi wa tume [mfano]matokeo ya fom4.

Hili ndio la kuchekesha kabisa alihitaji hata kuundiwa tume bali ni kuchua hatua tu ni kufumua wizara nzima ya elimu Tanzania waziri na makatibu walitakiwa wawe wamesha achia ngazi.

Tatizo linafahamika Tanzania hamna mitaala,walimu wanaidai serikali posho na nyongeza ya mishaara yao ili lipo wazi kabisa kwamba serikali ili washurutisha walimu waendelee na kazi bila kuwa sikiliza na kutatua au kumalizana nao kwa njia za mazungumzo.Haya yalichangia sana matokeo haya ya asili mia 60 kupata 0.

Walimu baada ya kushurutishwa na mahakama walirejea kufundisha lakini ule moyo wa kufundisha hawakua nao tena sasa hapa tume ya nini? haya ni matumizi mabaya ya fedha za watanzania na kukosekana kwa uwajibikaji wa serikali katika mambo mazito ya nayo husu nchi yetu na matumizi mabaya ya rasilimali fedha za watanzania.

Tume zinaundwa mapesa wanalipwa,majibu au mapendekezo ya tume yanatupwa kapuni,fikiria tume ya jaji Kisanga,tume ya Richmond,tume ya Nyalali,na nyingine nyingi je, serikali ituambie imetendea kazi kwa kiasi gani mapendekezo ya tume hizi?

Kama haijafanya chochote na mafisadi wala rushwa wanatembea vifua mbele na kusafishwa na serikali kwakupewa ulaji serikalini.

Tume tume tume kila siku tume za nini?
 
S

Semi free

Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
56
Points
0
S

Semi free

Member
Joined Feb 26, 2013
56 0
Tume ni ajira kwa marafiki wa waunda tume na wanaochunguzwa ni ndugu wa watawala usitegemee kuchukuliwa hatua.subiri2015
 
S

Sting007

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Messages
276
Points
195
S

Sting007

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2011
276 195
Tume, kila siku tume, wapate pa kulia chakula...!
 
master peace

master peace

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
1,450
Points
0
Age
39
master peace

master peace

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
1,450 0
Mkuu tume ni miradi ya wenye nchi; na wenye nchi wako mjni.
 
Kikarara78

Kikarara78

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Messages
1,282
Points
2,000
Age
40
Kikarara78

Kikarara78

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2010
1,282 2,000
Ni Kweli Tume Zetu zimekuwa nyingi, zisizo na tija kabisa kwa manufaa ya Nchi Yetu.
Ushauri wangu Serikali wangetumia hizi Research za Wanafunzi, Wataalamu, Taasisi kufanyia kazi.

Ndg wana jf wenzangu,

Nachukua fursa hii kutoa yangu ya moyoni kuusu tume zinazoundwa kila kukicha hapa nchi kwetu Tanzania.Sikatai tume wala sipingi tume ila nina pingana na katabia kaliko zoeleka ka kuunda tume hata mahali pasipo hitaji uchunguzi wa tume [mfano]matokeo ya fom4.

Hili ndio la kuchekesha kabisa alihitaji hata kuundiwa tume bali ni kuchua hatua tu ni kufumua wizara nzima ya elimu Tanzania waziri na makatibu walitakiwa wawe wamesha achia ngazi.

Tatizo linafahamika Tanzania hamna mitaala,walimu wanaidai serikali posho na nyongeza ya mishaara yao ili lipo wazi kabisa kwamba serikali ili washurutisha walimu waendelee na kazi bila kuwa sikiliza na kutatua au kumalizana nao kwa njia za mazungumzo.Haya yalichangia sana matokeo haya ya asili mia 60 kupata 0.

Walimu baada ya kushurutishwa na mahakama walirejea kufundisha lakini ule moyo wa kufundisha hawakua nao tena sasa hapa tume ya nini? haya ni matumizi mabaya ya fedha za watanzania na kukosekana kwa uwajibikaji wa serikali katika mambo mazito ya nayo husu nchi yetu na matumizi mabaya ya rasilimali fedha za watanzania.

Tume zinaundwa mapesa wanalipwa,majibu au mapendekezo ya tume yanatupwa kapuni,fikiria tume ya jaji Kisanga,tume ya Richmond,tume ya Nyalali,na nyingine nyingi je, serikali ituambie imetendea kazi kwa kiasi gani mapendekezo ya tume hizi?

Kama haijafanya chochote na mafisadi wala rushwa wanatembea vifua mbele na kusafishwa na serikali kwakupewa ulaji serikalini.

Tume tume tume kila siku tume za nini?
 
Iron Lady

Iron Lady

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Messages
4,071
Points
1,250
Iron Lady

Iron Lady

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2008
4,071 1,250
Ndg wana jf wenzangu,

Tume tume tume kila siku tume za nini?
za ulaji ndugu yangu ulaji tu hakuna chochote cha maana katika tume hizi hata ripoti zao ni magumashi tu
polisi wa kariakoo walioiba mamilioni nao unataka tume ya nini?
ulaji tu
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
15,390
Points
2,000
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
15,390 2,000
kuunda Tume ni moja ya techniques za kiuongozi, kushusha temper ya unaowangoza kwa muda huo ili mambo mengine yaendelee.
 
mcubic

mcubic

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Messages
10,247
Points
2,000
mcubic

mcubic

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2011
10,247 2,000
Ndg wana jf wenzangu,

Nachukua fursa hii kutoa yangu ya moyoni kuusu tume zinazoundwa kila kukicha hapa nchi kwetu Tanzania.Sikatai tume wala sipingi tume ila nina pingana na katabia kaliko zoeleka ka kuunda tume hata mahali pasipo hitaji uchunguzi wa tume [mfano]matokeo ya fom4.

Hili ndio la kuchekesha kabisa alihitaji hata kuundiwa tume bali ni kuchua hatua tu ni kufumua wizara nzima ya elimu Tanzania waziri na makatibu walitakiwa wawe wamesha achia ngazi.

Tatizo linafahamika Tanzania hamna mitaala,walimu wanaidai serikali posho na nyongeza ya mishaara yao ili lipo wazi kabisa kwamba serikali ili washurutisha walimu waendelee na kazi bila kuwa sikiliza na kutatua au kumalizana nao kwa njia za mazungumzo.Haya yalichangia sana matokeo haya ya asili mia 60 kupata 0.

Walimu baada ya kushurutishwa na mahakama walirejea kufundisha lakini ule moyo wa kufundisha hawakua nao tena sasa hapa tume ya nini? haya ni matumizi mabaya ya fedha za watanzania na kukosekana kwa uwajibikaji wa serikali katika mambo mazito ya nayo husu nchi yetu na matumizi mabaya ya rasilimali fedha za watanzania.

Tume zinaundwa mapesa wanalipwa,majibu au mapendekezo ya tume yanatupwa kapuni,fikiria tume ya jaji Kisanga,tume ya Richmond,tume ya Nyalali,na nyingine nyingi je, serikali ituambie imetendea kazi kwa kiasi gani mapendekezo ya tume hizi?

Kama haijafanya chochote na mafisadi wala rushwa wanatembea vifua mbele na kusafishwa na serikali kwakupewa ulaji serikalini.

Tume tume tume kila siku tume za nini?
Sijaelewa tatizo lipo kwenye maandishi mekundu ama bluu!!!!!
 
K

Kilaza

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Messages
3,322
Points
0
K

Kilaza

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2013
3,322 0
Wewe bila tume watapata wapi sehemu ya kutuibia
 
B

Bahati Risiki

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
530
Points
0
B

Bahati Risiki

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
530 0
Tume ya kuchunguza matumbo yao na jinsi walivyojishibisha na raslimali za nchi yetu huku wakikusanyia na kulundika Uswiz. Mungu atawapasua hayo matumbo mmoja baada ya mwingine nyie subirini tu na huu ukwimi waliobeba na kuusambaza bila huruma!
 
kix

kix

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2009
Messages
319
Points
170
kix

kix

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2009
319 170
Ndg wana jf wenzangu,

Nachukua fursa hii kutoa yangu ya moyoni kuusu tume zinazoundwa kila kukicha hapa nchi kwetu Tanzania.Sikatai tume wala sipingi tume ila nina pingana na katabia kaliko zoeleka ka kuunda tume hata mahali pasipo hitaji uchunguzi wa tume [mfano]matokeo ya fom4.

Hili ndio la kuchekesha kabisa alihitaji hata kuundiwa tume bali ni kuchua hatua tu ni kufumua wizara nzima ya elimu Tanzania waziri na makatibu walitakiwa wawe wamesha achia ngazi.

Tatizo linafahamika Tanzania hamna mitaala,walimu wanaidai serikali posho na nyongeza ya mishaara yao ili lipo wazi kabisa kwamba serikali ili washurutisha walimu waendelee na kazi bila kuwa sikiliza na kutatua au kumalizana nao kwa njia za mazungumzo.Haya yalichangia sana matokeo haya ya asili mia 60 kupata 0.

Walimu baada ya kushurutishwa na mahakama walirejea kufundisha lakini ule moyo wa kufundisha hawakua nao tena sasa hapa tume ya nini? haya ni matumizi mabaya ya fedha za watanzania na kukosekana kwa uwajibikaji wa serikali katika mambo mazito ya nayo husu nchi yetu na matumizi mabaya ya rasilimali fedha za watanzania.

Tume zinaundwa mapesa wanalipwa,majibu au mapendekezo ya tume yanatupwa kapuni,fikiria tume ya jaji Kisanga,tume ya Richmond,tume ya Nyalali,na nyingine nyingi je, serikali ituambie imetendea kazi kwa kiasi gani mapendekezo ya tume hizi?

Kama haijafanya chochote na mafisadi wala rushwa wanatembea vifua mbele na kusafishwa na serikali kwakupewa ulaji serikalini.

Tume tume tume kila siku tume za nini?
kiongozi kabla ya kuhoji huo mtaala wa elimu jiulize kwanini haya hayakutokea mwaka jana au mwaka juzi na kwani swala la mtaala wa elimu limeanza mwaka 2012? tafakari.
pili swala la walimu kulazimishwa na mahakama kurudi kufundisha je seminary na shule privet ilikua hivyo? na kama wao walikua wanafundisha tena kwa mshahara mzuri sana kwenye shule kama st mary's seminary n.k kwanini still mwaka huu seminary zimekua na div four? na kwanini basi hata st mary's ambayo walimu wake wanalipwa vizuri sana imeshidwa kutoa hata one ya saba.
hypotheses yako iko wrong kunamatatizo zaid ya hayo uliyofikiria we need to dig down na kujua tatizo.
 
meningitis

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
8,067
Points
2,000
meningitis

meningitis

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
8,067 2,000
Leo tumesikia waziri mkuu akiitangaza tume ya kubaini sababu za matokeo mabovu ya kidato cha nne.
Uundwaji wa tume kuchunguza matukio mbalimbali sio jambo geni lakini limeonekana kushika kasi nchini.
Inavyoonekana matukio mengi yanaachwa kutokea kwanza halafu ndio yachunguzwe.
Mimi ninaamini kuwa mojawapo ya majukumu ya taasisi yetu ya kiuchunguzi-TISS inawajibika kwa namna moja au nyingine kufuatilia hali ya mambo yote nchini na baadae kuishauri serikali juu ya hatua za kuchukua kabla ya mambo kuharibika.
Ninaamini kuwa TISS imesheheni wachunguzi wanaofanya kazi kila sekta ambao wanafuatilia matatizo yote yanayoweza kuleta matukio yasiyo ya kawaida/majanga nchini.

Kinachonishangaza ni uwepo wa ongezeko la matukio yanayohitaji kuundiwa tume,je TISS hawafanyi kazi yao?au wanafanya kazi yao vizuri lakini ushauri wao unawekwa kapuni na wanasiasa?

Kwa mfano tume hii ikija na majibu kuwa waalimu waliamua kuhujumu wanafunzi ndio tuseme TISS walikuwa usingizini?
Nauliza je ni kipi kinachosababisha uundwaji wa tume za mara kwa mara?je TISS wamelala?
 
meningitis

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
8,067
Points
2,000
meningitis

meningitis

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
8,067 2,000
mods sijaona uhusiano wa thread yangu na hii ambayo mmeniunganisha nayo tena bila taarifa!
 
Forum statistics

Threads 1,296,632
Members 498,713
Posts 31,254,290
Top