TUME ZA SERIKALI NA CHAMA TWALA CCM Ni UFISADI NA USANII. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TUME ZA SERIKALI NA CHAMA TWALA CCM Ni UFISADI NA USANII.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Japhari Shabani (RIP), Sep 13, 2012.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tumekua tukishuhudia kila linapotokea jambo au janga uhudwaji wa tume ili kuchungunza tukio au janga,wakati mwingine hizi tume zinaundwa kuchunguza kitu ambacho kinaonekakana bayana na tume nyingi zinazoundwa matokeo yake au mapendekezo yake yanabaki kuwa siri,au ushauri wake hautekelezwi.Ni wazi ya kua tume hizi zinatumua pesa nyingi za walalahoi,swali linakuja hizi tume ni za nini?!!!Au nao ni mradi wa wajanja furani katika serikali kujifujia pesa chini ya mwamvuli wa "TUME"?Au ni usanii wa Serikali na chama tawala CCM kuzima hoja au kupunguza pressure kwa swala husika.Mfano mzuri ni hili la mauaji Mwandishi wa habari Mwangosi habapo kuna picha na video za kutosha na mashahidi wa kutosha.Hapa tume inatakiwa ichunguze nini?Camera gani ilichukua picha hizo?Muda gani na tarehehe gani lilpotokea tukio hilo?Sare gania walivaa WAUAJIA HAO?Nguo gania alivaa Mwangosi n.k.................................????????
  HAINGII KICHWANI MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 2. K

  KINUKAMORI Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Itabaki kitendawili, kwanza misielewi tume zahapa tz kila kitu tume lakini matokeo hatupewagi
   
Loading...