Tume yaanza figisu, mgombea wa CHADEMA apewa fomu zilizopigwa mihuri

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,442
55,017
Siiongezi chochote.

Msikilizeni mhanga akielezea alichokutana nacho.



Mwenyekiti wa Chadema, Tarime Mjini ambaye pia ni mgombea wa Udiwani, amewataka viongozi wote wa chadema, wazikague fomu zao kwa kuwa fomu aliyopewa yeye ilikuwa imepigwa mihuri
 
Post kama hizi ndio zinazidi kuwadidimiza..
Kwani zimeanza leo na mnavyo kosa maarifa malalamiko kila uchao lakini uchaguzi viongozi wenu wanashiriki hamuoni kama wanawazingua nyinyi wao wanakijua wanacho kifanya amkeni kwenye lindi la usingizi mzito!
 
Haya mambo ni wazi mtayafanya Sana (hujuma) ilamjue ndio yanazidi kuwafanya muonekane wahuni na majambazi ya demokrasia mwisho wa siku ni vurugu katika nchi. KUMBUKA HAKI HUINUA TAIFA.
Hujuma zinajulikana Mbowe mbona hagomi kushiriki uchaguzi msiojielewa ndio mnachezewa!
 
Back
Top Bottom