Tume yaahirisha uandikishaji Arusha

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
8,721
13,959
Wana Jf, nimepokea simu kwa kiongozi wa kitongoji changu kwamba Mkurugenzi amewaambia zoezi la kuandikisha wapiga kura Arusha limeahirishwa na vifaa vimechukuliwa hadi itakapo tangazwa twna. Kama ni kqwli hii ni dharau kwa Wana wa Arusha, kuna tukio kuwa safari na baada ya kuona tangazo la Tume kwenye vyombo vya habari tukarudi Arusha kujiandikisha. Naomba mqenye taarifa sahihi aziweke hapa.
 
Mimi nahisi hiyo ni fiksi tuu, wawaambie nyie pro chadema kuwa uandikishaji umeahirishwa alafu usiku pro-mafisi wakajiandikishe. Fanyeni inteligensia ya hali ya juu. Si mliona majuzi kuna watu wamekamatwa wanaandikisha usiku,
 
Kuna waandikishaji waliopata ajira ya kuandikisha watalipwa vipi?wengine wametokea mikoa ya jirani na Arusha!hizi gharama ni za nani?
 
Taarifa za kusikitisha sana,
Ila kwa nchi maskini kama yetu,kuna sababu nyingi za kiufundi ambazo zinaweza kupelekea kukwama kwa shughuli nyingi zinazohitaji technology za kigeni.
Uvumilivu na subira ndio itatunusuru
 
Yale mafuriko ya juzi yamewapanikisha..!!

Sasa wanaenda kujipanga upya namna ya kuchakachua..Wanaarusha msilale aisee Jipangeni upya, Wasiwachezee hawa.

BACK TANGANYIKA
 
Arusha hatutaki kuwaona mafisadi
Hata wakiandikisha usiku wa manane
Haya mafisadi yameshatutesa ya kutosha
We need a relief!!!
Enough is enough
 
Yale mafuriko ya juzi yamewapanikisha..!!

Sasa wanaenda kujipanga upya namna ya kuchakachua..Wanaarusha msilale aisee Jipangeni upya, Wasiwachezee hawa.

BACK TANGANYIKA

Hapa ndio wanazidi kutuoandisha mzuka. Yaani ocktober watajua kilicho mfukuza nyani kakimbilia msituni.
 
Mimi nahisi hiyo ni fiksi tuu, wawaambie nyie pro chadema kuwa uandikishaji umeahirishwa alafu usiku pro-mafisi wakajiandikishe. Fanyeni inteligensia ya hali ya juu. Si mliona majuzi kuna watu wamekamatwa wanaandikisha usiku,



Nina hofu sana na hili!
 
Hapa ndio wanazidi kutuoandisha mzuka. Yaani ocktober watajua kilicho mfukuza nyani kakimbilia msituni.

Hakika mkuu,

Nyie komaeni mpaka kieleweke, wakileta hizo mashine kuweni nao macho masaa 24. Wakifunga vituo hakikisheni mnasindikiza mashine zinakokwenda ikibidi zilindeni mpaka asubuhi inayofuata, imebainika wanaanzisha vituo bubu nyakati za usiku nakuwaandikisha watu wao.

Tena kwa hapo Arusha ndo wanahasira na Lema balaa, mitaa 73/78 si mchezo..!!! Wanamwandalia zengwe kuanzia kwenye kujiandikisha mpaka kwenye uhesabuji wa kura. Kuweni macho wakuu.

BACK TANGANYIKA
 
Hakika mkuu,

Nyie komaeni mpaka kieleweke, wakileta hizo mashine kuweni nao macho masaa 24. Wakifunga vituo hakikisheni mnasindikiza mashine
zinakokwenda ikibidi zilindeni mpaka asubuhi inayofuata, imebainika aanaanzisha vituo bubu nyakati za usiku nakuwaandikisha watu wao.

Tena kwa hapoq Arusha ndo wanahasira na Lena balaa. mitaa 73/78 si mchezo..!!! Wanamwandalia zengwe kuanzia kwenye kujiandikisha mpaka kwenye uhesabuji wa kura. Kuweni macho wakuu.

BACK TANGANYIKA



Kamanda hili usiwe na shaka nalo kabisa! Tutakomaa nao mpk waone joto daaadekii!!!
 
Lesirium nenda kajiandikishe kaka zoezi linaanza kesho.Tena hakikisha unacbukua likizo mpaka uandikishwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Taarifa zinasema uandikishwaji wapi gakura umesitishwa Tanzania nzima kuanzia kesho.

Taarifa hizo zimedika jioni hii hapa arusha,na sababu zilizotolewa ni kuwa.

WINO
CARD
RIBON

VIMESAHAULIKA CHINA.

Hwajasema zoezi hilo litaanza lini tena.
 
Back
Top Bottom