Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iwafutie usajili wanafunzi wanaorekodi na kusambaza video chafu mitandaoni

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,440
10,232
Wakuu Salaam:

Siku za karibuni kumekuwa na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu.

Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekuwa na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho.

Hawa wanafunzi wa vyuo vikuu watakapohitimu ndiyo wanaotegemewa kuwa viongozi na wazalishaji katika sekta mbalimbali ili kuinua maendeleo yao binafsi na Taifa kwa ujumla.

TCU wanatakiwa kuwafuta usajili wote waliohusika kwenye hizo video na wasipewe nafasi ya kusoma chuo chochote kabisa.

Kila mtu ni kama kashazoea habari kama hizi kusikika, hakuna maadili tena. Unakaa siku 2,3 unapata habari mpya.

Wanafunzi wa elimu ya juu tatizo liko wapi hadi kufikia hatua hii?

TCU chukueni hatua.
 
Wakuu Salaam:

Siku za karibuni kumekua na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu.

Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekua na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho.

Hawa wanafunzi wa vyuo vikuu watakapohitimu ndiyo wanaotegemewa kua viongozi na wazalishaji katika sekta mbalimbali ili kuinua maendeleo yao binafsi na Taifa kwa ujumla.

Acha wivu
 
Nasikia kuna mzigo mpya wa MUST.
Unapatikana wapi mkuu mana chimbo letu pendwa limepigwa ban now
Huyo ni miss MUST mtambo unatwanga kote kote.
Yule wa IFM alishakwenda kushtaki Kama alivyoahidi au aliishia kujidhalilisha tu.?
 
Wakuu Salaam:

Siku za karibuni kumekua na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu.

Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekua na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho.

Hawa wanafunzi wa vyuo vikuu watakapohitimu ndiyo wanaotegemewa kua viongozi na wazalishaji katika sekta mbalimbali ili kuinua maendeleo yao binafsi na Taifa kwa ujumla.

TCU wanatakiwa kuwafuta usajili wote waliohusika kwenye hizo video na wasipewe nafasi ya kusoma chuo chochote kabisa.

Kila mtu ni kama kashazoea habari kama hizi kusikika, hakuna maadili tena. Unakaa siku 2,3 unapata habari mpya.

Wanafunzi wa elimu ya juu tatizo liko wapi hadi kufikia hatua hii?

TCU chukueni hatua.
Vyuma vimekaza. Wanadanga. Boom halitoshi. Mzazi hajapandishiwa daraja wala mshahara huu mwaka wa 5.
 
Hii inaonekana kuna watu wenye pesa zao wako behind this,watakua wanapata pesa nyingi baada ya kujirecod,na wahusika wanaupload kwenye mitandao mikubwa ya ngono,hawa wanapiga mtonyo mrefu.yote haya ni kumpa sifa shetani.Tunakoelekea ni Kumwomba Mungu sana na Kuwakabidhi watoto wetu Kwa Mungu,sisi pekee yetu hatuwezi.

Ulishawahi kujiuliza wazazi wa hawa watoto wanajisikiaje.
Ewe mtoto wa kike usikubali kukutana kimapenzi na mtu yeyote ukiwa high, either kwa pombe au chochote
 
Kwa nini mnaamgalia kama hampendi ? Za wabongo zifungiwe Ila za wazungu ziendelee kuangaliwa, yaani tuzidi kuwatajirisha wazungu,.Kila mtu aachwe aishi anavyotaka wewe nani wa kuingilia Uhuru wa MTU Nani kakulazimisha kudownload.Mnashabikia mambo yasiowahusu.We kama msabato unatafuta nini ktk xporn site.Hivi Malaya unaweza mpangia maisha yake ?

Mnashangilia Globalization impact yake mnashindwa kuivumilia.Mbona siku hizi wanawake wanatembea uchi mabarabarani hakuna anaejali.Wazungu wakisha amua mambo yao wewe ni nani wa kuwazuia? Hakuna sheria inayoweza kuzuia Global system, haipo hata zitungwe sheria laki hazitafua dafu kwa utandawazi.Mliukubali utandawazi muyakubali matokeo.
 
Kwahy kama ni mtoto wako umeona video zake zinasambaa mtandaoni akiwa anakunjwa tena tigo, utachekelea?
 
Kwa nini mnaamgalia kama hampendi ? Za wabongo zifungiwe Ila za wazungu ziendelee kuangaliwa, yaani tuzidi kuwatajirisha wazungu,.Kila mtu aachwe aishi anavyotaka wewe nani wa kuingilia Uhuru wa MTU Nani kakulazimisha kudownload.Mnashabikia mambo yasiowahusu.We kama msabato unatafuta nini ktk xporn site.Hivi Malaya unaweza mpangia maisha yake ?
Mnashangilia Globalization impact yake mnashindwa kuivumilia.Mbona siku hizi wanawake wanatembea uchi mabarabarani hakuna anaejali.Wazungu wakisha amua mambo yao wewe ni nani wa kuwazuia? Hakuna sheria inayoweza kuzuia Global system, haipo hata zitungwe sheria laki hazitafua dafu kwa utandawazi.Mliukubali utandawazi muyakubali matokeo.
Wewe Malaya

Hayo ya wazungu waachie wao maana wapo dunia nyingine fata cultural yako usipende kujilinganisha kwa kila kitu..

Tunakemea hivo vitendo na hatuvitaki.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom