Tume ya utumishi wa Mahakama yawafukuza kazi waajiriwa wapya 385

Sasa hao si ni kati ya wale 3000 walioajiriwa kimagumashi mwezi June na kuondolewa mwezi Julai. Wanatakiwa kuomba kazi upya pamoja na wenzao nafasi za kazi zitakapotangazwa.
 
Sasa hao si ni kati ya wale 3000 walioajiriwa kimagumashi mwezi June na kuondolewa mwezi Julai. Wanatakiwa kuomba kazi upya pamoja na wenzao nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Nani aliwaajiri kimagumashi?! Au ni June 2015? Manake serikali hii ilivyo kiroja inadhani yote yaliyofanyika kabla November 2015 wao hayawahusu na wanaopaswa kulaumiwa na serikali iliyopita huku wakisahau serikali ni ile ile iliyopita na kilichobadilika is just a bunch of decision makers!
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
Wafungue kesi high court
Sheria ya kazi sio nzuri kwa aliye chini ya miezi sita ajirani au aliye under probation, huyo anakuwa hana haki ya kufungua kesi ya kufukuzwa kazi. Habari ndio hiyo. Na Tucta walishiriki vema kutunga sheria kandamizi hii
 
Back
Top Bottom