nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,622
Nichukue nafasi kwa masikitiko makubwa nakuwaomba tume ya utumishi wa mahakama Tanzania kuwaambia ukweli vijana 300 mliowasimamisha kazi toka June 2016 huku mkiwa mmewasainisha mikataba kila kitu mngewaambia ukweli Kama kazi zao zipo Au mmezifuta Mara mmoja kuliko kuwapa moyo penye Hakuna.