Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yapuliza kipenga uchaguzi mdogo jimbo la Konde na kata 6 Tanzania bara

Nguruka

Senior Member
Dec 6, 2006
180
124
TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya Uchaguzi Jimbo la Konde, Micheweni, Kaskazini Pemba na Kata sita za Tanzania Bara.
Nec.jpg

Screenshot_2021-06-03-15-15-04-29.jpg
 
Wana bodi Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeshatangaza uchaguzi mdogo Jimbo la Konde kutokana na Kifo cha aliyekuwa Mbunge Khatib Said Haji Je CCM inaweza kulichukua hilo au litabaki kwa ACT Wazalendo
 
Je, chadema watashiriki au watamuunga mkono mama na ccm ili kumkomoa marehemu kama ilivyokuwa muhambwe na buhigwe?
 
Back
Top Bottom