Tume ya Uchaguzi yakanusha vikali kuwepo vituo hewa 55 vya kupigia kura Arumeru.

Aibu ya mwaka kwa balaa na mwendelezo huu wa DHAMBI ya uchakachuaji tena wa uchaguzi nchini.
 
Leo ajabu ujaweka My Take...Chadema tumeishawazoe kwa kulalamika bila ushahidi wowote, mara nyingi uwa wanaanza kulalamika kipindi cha kampeni, kama mtakumbuka Slaa, alishawahi kusema kuna kontena la futi 20 limekamatwa Tunduma limejaa karatasi za kupigia kura, Polisi walipolifungua wakakuta vipodozi.
Hama kweli watu wenye mizigo yao CCM utawafahamu tu.Nijambo gani unalo lifahamu katika historia ya ya Sereikali ya CCM, kwamba walisha wahi kufanya makosa/madudu na wakakubali makosa.Mifano michache:1: Pesa za EPA 2: Richmond3: Dowans4: Meremeta5: Rada6: Waweza kuongeza mengine mengi.Haya na mengine mengi, sijawahi kusikia serikali imekiri kuhusika na pale ambapo inabanwa zaidi utasikia "TUNAWAFAHAMU,TUTAWACHUKULIA HATUA, FEDHAZIMERUDISHWA NA TUTAZIPELEKA KWENYE MIRADI n.k. Lakini ukiwauliza waliohusika ni kina nani, hautapata jibu. Kwa hiyo hilo la kuongezwa kwa vituo ni jambo ambalo lipo, lakini husitegemee wakiri kuwa ni kweli tume imefaya hivyo.
 
Aibu ya mwaka kwa balaa na mwendelezo huu wa DHAMBI ya uchakachuaji tena wa uchaguzi nchini.
Ni aibu kweli, these people think we are all stupid, angalia kata ya Songoro anayotoka Nassari ndiyo haijaongezwa kituo hewa.

No
Kata
Idadi
vituo(Halali)
Vituo baada ya kuongezwa
Vituo
hewa
1
Akheri
18
20
2
2
Kikatiti
18
22
4
3
Kikwe
11
12
1
4
Kingori
26
29
3
5
Leguruki
20
23
3
6
Makiba
18
21
3
7
Maji ya chai
24
29
5
8
Maroroni
17
21
4
9
Mbuguni
21
25
4
10
Nkoarsambu
8
10
2
11
Ngarenanyuki
20
26
6
12
Nkoaranga
17
22
5
13
Pori
16
20
4
14
Nkwandua
22
25
3
15
Seela - Sing'isi
12
15
3
16
Songoro
15
15
0
17
Usa River
36
41
5
 
  • Thanks
Reactions: 3D.

Seela - Sing’isi
12
15
3
16
Songoro
15
15
0
17
Usa River
36
41
5

kweli hawa jamaa ni balaa kabisa ila kwa wale wenzangu ambao watakuwa wapiga kuru huku meru mashariki naomba ukishapiga kuru usiondoke mpaka matokeo yatangazwe ili tusiwape nafasi ya kuchakachua
 
Leo ajabu ujaweka My Take...Chadema tumeishawazoe kwa kulalamika bila ushahidi wowote, mara nyingi uwa wanaanza kulalamika kipindi cha kampeni, kama mtakumbuka Slaa, alishawahi kusema kuna kontena la futi 20 limekamatwa Tunduma limejaa karatasi za kupigia kura, Polisi walipolifungua wakakuta vipodozi.

Lkn msimamizi mkuu wa UCHAGUZI-MERU kakubali kuwa ni kweli vituo 55 viliongezeka"lkn eti kwa makosa tu ya uchapishaji!Once again Dr Slaa was right and empty-bold-head Ritz was wrong!
 
Hebu tuweni wakeli, tangu lini mwizi akakubali kuwa ameiba?? hii hoja haina mshiko
 
Ni aibu kweli, these people think we are all stupid, angalia kata ya Songoro anayotoka Nassari ndiyo haijaongezwa kituo hewa.

No
Kata
Idadi
vituo(Halali)
Vituo baada ya kuongezwa
Vituo
hewa
1
Akheri
18
20
2
2
Kikatiti
18
22
4
3
Kikwe
11
12
1
4
Kingori
26
29
3
5
Leguruki
20
23
3
6
Makiba
18
21
3
7
Maji ya chai
24
29
5
8
Maroroni
17
21
4
9
Mbuguni
21
25
4
10
Nkoarsambu
8
10
2
11
Ngarenanyuki
20
26
6
12
Nkoaranga
17
22
5
13
Pori
16
20
4
14
Nkwandua
22
25
3
15
Seela - Sing’isi
12
15
3
16
Songoro
15
15
17
Usa River
36
41
5

Chakushangaza zaidi, hii error ipo bias katika kuongeza vituo tu na wala si kuvipunguza. Halafu hii error imegoma kutokea kata ya Songoro anapotokea Nassari. Kweli mmetufanya sisi watanzania wote ni wajinga. Kwanini TUME ya UCHAGUZI yenye mamlaka kikatiba itumike kuvuruga DEMOKRASIA? Hapa ndiyo tumepoteza hata ile chembe ya imani tuliyokuwa nayo kwa hii Tume ya uchaguzi. Pia hawa Majaji wanayoiongoza hii tume wanadharaulisha taaluma zao na fani nzima ya SHERIA. Naomba wanasheria wote, ama chama cha umoja wa wanasheria wakemee udhaifu huu mkubwa. Yani mmekataa kutoa Form namba 17, mnaenda kuongeza vituo hewa. AIBU YENU
 
Hii ni aibu sana kwa kweli;makosa ya uchapishaji yamefanyika kwenye kila kata kasoro kata ya Songoro nyumbani kwa mgombea wa CHADEMA?Then jaji Lubuva and his CO anakuja kutetea udanganyifu kwenye uchaguzi?Kwa vituo 55 hewa kila kituo ukiweka kura "za maruhani 200"tu unakusanya kura hewa 11,000 na Sioi wa CCM angeshinda uchaguzi easily!

CHADEMA wapigane kuhakikisha vituo hewa 55 havileti hata kura 1 ya nyongeza na wanashinda uchaguzi huu;uwizi huu ndiyo walioutumia Igunga mwaka jana na Kyela mwaka 2005!
 
Vituo hewa ndiyo njia kuu inayotumiwa na CCm ikishirikiana na NEC kujiongezea kura ukiondoa ile ya kununua kadi ambayo ipo too risky and costly. CDM wakidhibiti mbinu hii katika chaguzi zote watakuwa karibu kushinda vita. Kwa kugundulika mbinu hii CCM watakuwa hawalali kuitana kwenye vikao.
 
Shame on NEC, shame on LUbuva. msimamizi wa jimbo amekiri kuwa kuna kasoro, yeye anaruka. huyu mzee anaaibisha taaluma ya sheria kwa ujumla. Shame on him.
 
Mimi niko Arusha, nikichunguza kwa kina naona kuna kila viashilia vya CDM kushinda uchaguzi wa arumeru mashariki, hata CCM wanajua hilo na sasa wanatafuta plan B; yaani kuiba kula. Sasa ni juu ya chadema kuakikisha siku ya uchaguzi wanakuwa makini kwa kuchagua wawakilishi watakao simamia uchaguzi ambao ni makini na wasiokuwa na njaa,maana experience inaonyesha CCM ni wazuri sana kwenye kuonga mawakala wa vyama pinzani for any amount of money.
 
Back
Top Bottom