Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,563
- 217,905
Huyu mtu mmoja kwanini ana vitambulisho viwili ?
Yawezekana wapo kina Yusuph wengi ili kufanikisha mchakato wa kuchakachua.
ngoja tusikie kutoka NEChili lilinitokea mwaka 2015.. kwenye daftari nikakuta kuna majina yangu mawili.. nikuzuiliwa kupiga kura na kadi ikachukuliwa.. mwaka huu nimewafata nikafuta jina moja na jingine ndo nikapewa kitambulisho. so usiwe na mawazo..
... usajili kwa alama za vidole!
Wacha kusema uongo hizo ishu za kujiandikisha vituo viwili tofauti hufanywa na ccm tangu miaka ya 1995 zoezi hilo mulilianzisha Zanzibar mpaka sasa munalitumia hutumia vikosi vyenu vya mazombi na majanjawiri mwaka 2015 walitoka vijana unguja wakaja kupiga kura Pemba watu wakawashtukizia wakawapiga wakawa hali mbaya usiku balozi seif Ali idi alikuja kuwachukua kwa ndege na kurejeshwa ungujaHapo mwenye kosa ni huyo kijana
Inawezekana alienda kujiandikisha mara ya pili kwa kuripoti amepoteza kitambulisho
... iliwezekana vipi wakati alipoenda mara ya pili ilitakiwa automatically awe rejected. Au hizo alama za vidole ni geresha?Hapo mwenye kosa ni huyo kijana
Inawezekana alienda kujiandikisha mara ya pili kwa kuripoti amepoteza kitambulisho
... iliwezekana vipi wakati alipoenda mara ya pili ilitakiwa automatically awe rejected. Au hizo alama za vidole ni geresha?
Ila hawawezifanana taarifa za kuzaliwaYawezekana wapo kina Yusuph wengi ili kufanikisha mchakato wa kuchakachua.
Wakikujibu utushirikishe Mkuu.
... umemaliza Mkuu. Kawe Alumni, soma hiyo.kama elienda kujiandikisha mara mbili.. kosa hapa ni la wao waandikishaji.. system ilitakiwa iseme mbona upo kwenye system.. angepewa tu kadi kwa namba ileile ya iliyopotea.. na si kumpa kadi mpya yenye namba tofauti
Akiba endapo kimoja kitapotea.
Mimi sizioni alama za vidole.... iliwezekana vipi wakati alipoenda mara ya pili ilitakiwa automatically awe rejected. Au hizo alama za vidole ni geresha?
Huwezi kujiandikisha mara mbili. Ukitaja tu jina inaonekana kama ulishajiandikisha au la. Mimi changu kilipotea walipokuja nikataja jina chap kikajitokeza kikachapwa sababu sikuwa na mabadiliko niliyofanya. Sasa itakwaje majina mwaka kila kitu kiko sawa isipokuwa makazi tu ndio tofauti kitoke mara mbili? Vitambulisho vyote viko kwenye database hiyo hautegemewi kuwa na makosa kirahisi hivyo. Nenda kokote nchi hii database ikifunguliwa unaonekana tu.Hapo mwenye kosa ni huyo kijana
Inawezekana alienda kujiandikisha mara ya pili kwa kuripoti amepoteza kitambulisho
Ingekuwa kweli kapoteza na kaandikisha upya, vitambulisho vyote vingefanana maana huwa ni lazima ujue namba na taarifa ya kitambulisho cha zamaniHapo mwenye kosa ni huyo kijana
Inawezekana alienda kujiandikisha mara ya pili kwa kuripoti amepoteza kitambulisho