Tume ya Uchaguzi: Tuchague kiongozi tunayemtaka au kiongozi bora?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya Uchaguzi: Tuchague kiongozi tunayemtaka au kiongozi bora??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzizi wa Mbuyu, Mar 29, 2010.

 1. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,496
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Ninatatizika na tangazo moja hivi la tume ya uchaguzi linalosisitiza watanzania kujitokeza kuchagua viongozi, linasisitiza wananchi wachague viongozi wanaowataka.......

  Mimi naona sio sahihi kuchagua kiongozi unayemtaka tu, kwani inaweza kuwa unamtaka sababu kakupa Tshirt, kanunulia chakula, au kwa ujumla kakuhonga ili umuone anafaa...lakini ni fisadi mkubwa au/na hafai kuwa kiongozi kabisa.

  Naamini sahihi ni kuchagua kiongozi bora...if posiible warekebishe ianaweza kuwapotosha wananchi.
   
Loading...