Tume ya Uchaguzi(NEC), yapendekeza Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuleta ufanisi

Ni kama vile tume huru ipo muda mrefu ndio maana kina Mbowe, Zito, Sugu, Kubenea, Lisu, Mnyika, Msigwa, Lema na wengineo wengi kutoka upinzan waliweza kushinda chaguzi zaidi ya tatu mfululizo. Ila tatizo lililopo ni kwamba watanzania wa sasa sio wale wa 1999. Wengi wanajitambua na kuijua siasa vizuri, ndio maana hawako tayar kurubuniwa na wanasiasa uchwara anymore. Huwezi kuja kugombea jimbo la hai afu ukishapata ushindi unakimbilia dar na dubai huku ukituacha wana hai hatuna maji, barabara, hospital wala kisima cha maji safi. Afu utegemee kila uchaguzi utakuja tukuchague. Jimbo hili haliwezi kufanywa shamba la bibi na mchumia tumbo yoyote!!!
Kwa akili yako mgombea wa upinzani akishinda basi inakuwa ni ishara tosha kiwa tume ni huru!!!!!!???
Da,kwa akili hizi hatuwezi kufika.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Tume ya Taifa ya UCHAGUZI (NEC) inapendekeza yafuatayo:-

1.Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuongeza ufanisi.

2.Tume iwe na watumishi wake mpaka ngazi ya Wilaya.

3.Kuwe na sheria moja ya Uchaguzi.

4.Uchaguzi wa Serikali za Mitaa usimamiwe na Tume.

5.Wanaopita bila kupingwa Wabunge na Madiwani wapigiwe kura za NDIYO/ HAPANA.

6.Asasi zinazotoa elimu ya Uraia ziwezeshwe na Serikali.
Haya yote Ni mavi uharo bila time huru ya UCHAGUZI na Katiba mpya
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Tume ya Taifa ya UCHAGUZI (NEC) inapendekeza yafuatayo:-

1.Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuongeza ufanisi.

2.Tume iwe na watumishi wake mpaka ngazi ya Wilaya.

3.Kuwe na sheria moja ya Uchaguzi.

4.Uchaguzi wa Serikali za Mitaa usimamiwe na Tume.

5.Wanaopita bila kupingwa Wabunge na Madiwani wapigiwe kura za NDIYO/ HAPANA.

6.Asasi zinazotoa elimu ya Uraia ziwezeshwe na Serikali.
Mapendekezo mazuri kiasi chake
 
Tume ya sasa ni takataka kama takataka nyingine tu, tume inapaswa kuwa independent isiyoweza kuingiliwa na serikali.
 
Tunataka katiba mpya na hayo yaangaliwe ndani ya katiba mpya.

Umeona mkuu janja ya nyani kuficha makalio kwa kiganja? Halafu mwisho wa siku waje waseme hakuna haja ya katiba mpya kwani marekebisho ya tume yalishafanywa
 
"Anayemlipa mpiga zumari ndiye anaechagua wimbo" ni msemo wa kitambo sana ktk lugha yetu adhimu ya kiswahili wenye maana pana sana na unamgusa kila mtanzania ktk mazingira yake ya kila Siku.
 
CCM wanatufanya wanavyojisikia, wanatugeuza wanavyotaka ,na ukihoji unaambiwa amia Burundi.
Mkitaka mabadiriko leteni katiba mpya na si vinginevyo.
 
Tume ya Taifa ya UCHAGUZI (NEC) inapendekeza yafuatayo:-

1. Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuongeza ufanisi.

2. Tume iwe na watumishi wake mpaka ngazi ya Wilaya.

3. Kuwe na sheria moja ya Uchaguzi.

4. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa usimamiwe na Tume.

5. Wanaopita bila kupingwa Wabunge na Madiwani wapigiwe kura za NDIYO/ HAPANA.

6. Asasi zinazotoa elimu ya Uraia ziwezeshwe na Serikali.
Asasi zinazotoa elimu ya Uraia ziwezeshwe na Serikali.Hii hapana
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Mbwa kabisa ndio mapendekezo gani Sasa hayo? Yani badala ya kusema time iwe huru, wakurugenzi wa halmashauri wasihusike kwa namna yoyote ile kusimamia uchaguzi, walimu na watumishi wa umma wasiwe na majukumu ya uchaguzi Wala uteuzi wa mwenyekiti wa tume yenyewe asichaguliwe na Ccm wao wanaleta mapendekezo yakishamba kabisa yasikuwa na tija.
Pendekezo namba 2 umelielewa!?
 
Back
Top Bottom