Tume ya uchaguzi(NEC) ni lini mtaboresha daftari la mpiga kura?

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,466
2,642
Wasalaam, japo sina imani na tume ya uchaguzi nec kutokana muundo wake ambapo 100% ya watumishi wake ni makada watiifu wa ccm na huteuliwa na m/kiti wa ccm.

Napenda kutoa maoni ni Vema tume hii ya uchaguzi ya ccm ikaandikisha wapiga kura wapya ktk daftari la kudumu la mpiga kura mapema kuepusha sintofahamu inayoweza kutokea kuelekea chaguzi zijazo. Nasema haya maana sioni dalili za jambo hili wala sioni dalili za watanzania kudai tume huru ya uchaguzi ambayo haitateuliwa na m/kiti wa ccm km ilivyo leo ili kuwe na chaguzi huru.
 
Shetani aboreshe daftari la wapiga kura, hukuyaona aliyoyafanya kwenye chaguzi ndogo mpaka risasi zikawa zinakata kona kwenda kwenye daladala kuua na waliozifyatua wako segerea mwezi wa pili sasa.
 
Wasalaam, japo sina imani na tume ya uchaguzi nec kutokana muundo wake ambapo 100% ya watumishi wake ni makada watiifu wa ccm na huteuliwa na m/kiti wa ccm.

Napenda kutoa maoni ni Vema tume hii ya uchaguzi ya ccm ikaandikisha wapiga kura wapya ktk daftari la kudumu la mpiga kura mapema kuepusha sintofahamu inayoweza kutokea kuelekea chaguzi zijazo. Nasema haya maana sioni dalili za jambo hili wala sioni dalili za watanzania kudai tume huru ya uchaguzi ambayo haitateuliwa na m/kiti wa ccm km ilivyo leo ili kuwe na chaguzi huru.
Daftari la nini wakati hata cheti cha darasa la 7 unapigia kura?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huwezi kuuliza au kutoa hoja bila kukashifu? Jifunze kuwa mstaarabu
 
Back
Top Bottom