Tume ya Uchaguzi na Utangazwaji wa matokeo ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya Uchaguzi na Utangazwaji wa matokeo ya uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by UmkhontoweSizwe, Oct 18, 2010.

 1. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,968
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Jamani, nimepitiwa au ndo hali halisi. Mbona sijasikia kama Tume ya Uchaguzi wako tayari kuruhusu uwepo wa vyombo vya habari kwenye chumba cha kujumlishia na kutangazia matokeo ya uchaguzi mkuu?
  Naamini kama wangefanya hivyo, na kukawa na chumba maalumu kwa kazi hiyo, vyombo vingi vya habari, hasa vituo vya TV vingekuwepo kutupatia live updates.
  Hiyo pia ingewasaidia tume yenyewe kuepuka lawama na tuhuma za kuhusika kuchakachua matokeo.
  Mhe. Makame, vipi hapo?
   
 2. LOGARITHM

  LOGARITHM JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60

  UmkhontoweSizwe, you seem to have a point there, but I am afraid, letting that happen; would contradict the startegy behind the EVIL curtain.
   
 3. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,968
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  So, you mean NEC is involved in the evil strategy behind the curtain? But, having open tallying would make them more credible than getting involved in chakachuaring the results.
   
 4. tartoo

  tartoo Senior Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NEC is not independent. They will not accept that.

  Hawa ndugu wanaendeshwa kwa remote control na CCM and Usalama wa Taifa in favour of the rulling elites.
   
 5. LOGARITHM

  LOGARITHM JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60

  Not necessarily that way....but as you damn well know...it's all about independence. My comrade TARTOO has clarified, and, I should not be repeating his/her perfect answer.
   
Loading...