TUME YA UCHAGUZI;kwanini inaitisha chaguzi bila kuandikisha wapya,nani anawatumi

ferre.g

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
2,217
Points
1,195

ferre.g

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
2,217 1,195
ndugu wana jf habari zenu......

nimefuatilia kwa mda sasa jambo hili...... ni kwanini watanzania walotimiza umri was kupiga kura hawapewi fursa hii adhimu na ukizingatia kuwa wengi wao ni vijana na wapenda mabadiliko?

tume hii inafanya dhambi kubwa sana kwa watu Hawa na nafikiri imepita miaka mingi sana bila kufanya marekebisho ktk daftari hili.

nawaomba tume na wakurugenzi wao kufikiri kwa kina jambo hili ili vijana walokosa haki hyo mwaka 2010. waipate na kutimiza wajibu wao kwa taifa lao.

Nawasilisha...... na asanteni sana

ANGALIZO; Jadili na kutoa mchango wako kwa lugha njema........ matusi...kebehi vinashusha heshima ya jukwaa letu..
 

Forum statistics

Threads 1,389,874
Members 528,040
Posts 34,037,071
Top