Tume ya Uchaguzi Izuie Wabunge Wasiokuwa Na Nidhamu Bungeni Wasigombee Ubunge Tena

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,074
Ningependa tume ya uchaguzi kuangalia upya hawa wabunge wanaokosa nidhamu bungeni kutogombea ubunge tena. Haiwezekani mtu amechaguliwa na wananchi kuwakilisha halafu anakwenda kufanya vitendo vya kihuni bungeni. Nchi inapokuwa na aina hii ya wabunge ni hasara kwa pesa za walipa kodi.
 
Hapo kumbuka hata Job mwenyewe atapigwa chini achilia mbali Lusinde na yule aliyesemaga "phuk u"
 
Ningependa tume ya uchaguzi kuangalia upya hawa wabunge wanaokosa nidhamu bungeni kutogombea ubunge tena. Haiwezekani mtu amechaguliwa na wananchi kuwakilisha halafu anakwenda kufanya vitendo vya kihuni bungeni. Nchi inapokuwa na aina hii ya wabunge ni hasara kwa pesa za walipa kodi.
Kwa wehu huu ipo siku utapendekeza "bila kuwa na kadi ya ccm hakuna kufungishwa ndoa"

Yaani umewehuka hatari!!! mbaya zaidi hujioni.
 
Ningependa tume ya uchaguzi kuangalia upya hawa wabunge wanaokosa nidhamu bungeni kutogombea ubunge tena. Haiwezekani mtu amechaguliwa na wananchi kuwakilisha halafu anakwenda kufanya vitendo vya kihuni bungeni. Nchi inapokuwa na aina hii ya wabunge ni hasara kwa pesa za walipa kodi.
ina maana kwa mawazo yako bunge ndio wana akili sana kushinda sisi wananchi tunaowachagua, acha ujinga
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom