Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Ningependa tume ya uchaguzi kuangalia upya hawa wabunge wanaokosa nidhamu bungeni kutogombea ubunge tena. Haiwezekani mtu amechaguliwa na wananchi kuwakilisha halafu anakwenda kufanya vitendo vya kihuni bungeni. Nchi inapokuwa na aina hii ya wabunge ni hasara kwa pesa za walipa kodi.