Tume ya uchaguzi iwe na sheria inayolazimisha kuwapima wagombea afya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya uchaguzi iwe na sheria inayolazimisha kuwapima wagombea afya?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pax, Aug 22, 2010.

 1. P

  Pax JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  No offense, lakini matukio haya ya wagombea kudondoka jukwaani sio ishara nzuri hata kidogo. Tunaweza kuja kuwa na Raisi ambaye ana matatizo ya kiafya akaiingiza nchi kwenye matatizo makubwa. Navyoelewa mtu kudondoka dondoka anaweza kupata brain damage kwa seli za ubongo kukosa Glucose au hata physical injury. Sielewi kama tume ya uchaguzi huwa inafanya tathmini ya afya za wagombea yenyewe hasa wa Uraisi au la. Sio mara ya kwanza kwa huyu mgombea kudondoka, na hii ya jana kwa hakika inatia shaka mno, day 1? hapo hata hakufanya mzunguko kupata wadhamini, je angezunguka ingekuwaje? Pili, kadondoka nafikiri alikuwa hajamaliza hata dakika 20 za kuongea, swaumu ni kisingizio tu nafikiri, kuna tatizo la kiafya hapa.

  Inakatisha tamaa sana kuona matukio haya kwa kweli, katibu alikuwa very emotional ijapokuwa alijitahidi kuficha lakini huzuni yake ilikuwa obvious, wananchi walikuwa wameshika vichwa, kwa huzuni na mshtuko. Hamna sheria kuweza kumzuia mgombea huyu asiendelee na kampeni kwa sababu za kiusalama na kiafya?
   
 2. G

  Gulwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2016
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 2,345
  Likes Received: 1,516
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa bora viongozi Wa ngazi za juu tukawapima afya zao, ikiwa ni pamoja na afya ya akili ili tusije kumpa mtu madaraka makubwa tukaja kujuta
   
 3. KWEZISHO

  KWEZISHO JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2016
  Joined: Jan 29, 2016
  Messages: 6,191
  Likes Received: 4,697
  Trophy Points: 280
  Je una mashaka na wakubwa mpaka wapimwe afya ya akili?
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2016
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,628
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  "zedisio" anakuhusu! Jiandae kuhojiwa tu
   
Loading...