YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Tume yetu ya uchaguzi iongezewe uwezo iwe inasimamia chaguzi ndani ya vyama vya siasa ili kuhakikisha demokrasia inafanyika na chaguzi zinakuwa huru na haki.Tume ya uchaguzi kenya husimamia chaguzi ndani ya vyama pia kwani wanaamini uhuru na demokrasia ya uchaguzi lazima ianzie ndani ya vyama na isimamiwena tume ya uchaguzi.Sheria ibadilishwe tume ya uchaguzi wapewe hiyo nguvu ili kukuza na kulinda demokrasia ndani ya vyama.