Tume ya Uchaguzi 2015

huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
1,519
1,462
Jana niliona Tume huru ya Uchaguzi 2015 chini ya Mwenyekiti Wao Jaji Lubuva wakimkabidhi Hundi ya Sh 12 billions kwa Mh Rais kuwa ni pesa iliyobaki kwenye uchaguzi mkuu mwaka Jana(2015) Swali: kwann walimpelekea Mh Rais moja kwa moja badala ya kuipeleka hazina???? je Rais Amekuwa Mwekahazina??? Karibuni Mnisaidie,,,!!!
 
Back
Top Bottom