Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Mwenzao Aida Khenan ameshinda ubunge kwenye wakati mgumu sana, si Mbowe wala Lisu aliyeenda kumuombea kura huko Nkasi , acha ale maisha tena bila makato ya kuchangia chama.

Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
Yote ni mikakati ya ccm, nami awe mbunge nani asiwe, bila ya kujali ni chama gani.
 
Jipeleleze Mkuu vizuri,

Ukiona umefika mahali unaona njia pekee ya kupata unachotaka ni kudhurumu Uhuru wa binadamu mwenzio wa kuweza kutimiza mahitaji yake ya msingi, ambaye hata ukipata unachokitaka hutokaa hata siku moja umpelekee chochote ili aweze kujikimu..

Jua unapitia mabadiliko makubwa ya kutoka ktk hali ya ubinadamu... You are no more human being..!
Hiv anaondoka lini kurudi Ubelgiji?
 
Si wangemtangaza tu kabla hata ya kampeni, kuliko kuekti sinema ya matrillioni kwa kodi zetu, tungeokoa hayo matrillioni yakasaidia kutubambikizia kesi zisizo na dhamana wananchi na kununua virungu vilivyo vunjika baada ya kutupiga navyo.

Natamani Mw. Nyerere afufuke kwa siku moja, aje ajionee.

#LINK# Askari polisi wakamata shehena za mabegi yenye kura zilizopigwa nje ya kituo, zilikua zinaingizwa kwa njia ya panya ndani ya vituo vya kupigia kura. Washangaa na kukiri kuna defender la polisi limejaa shehena ya mabegi ya kura zilizokamatwa kama vielelezo.



Zitto Tundu Lissu
Naskia askar akisema mnatuharibia nchi..hii clip imeniuma sana

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Hii iliyochezwa na CCM ni mchezo wa cowboy au tuseme ni wizi uliotumwa kufanywa ,sasa wizi unapofanikiwa walioiba wakishapeleka hela kwa aliewatuma ,bila ya shaka mnajua kinachofuata.
Hongera CCM kwa ushindi mnono sasa jipangeni tupate yanayofurahisha ,hao waliowasaidia kuiba kura kazi kwao angalieni wasije kuvujisha siri.
 
Inaeleweka tumeccm imemtangaza ila hajashinda hata Yale na vibaraka wake kina Chakubanga Polepole wanalijua Hilo .
Screenshot_20201029-225300.png
Screenshot_20201029-225254.png
 
#Taarifatunaambiwa Jiwe hajafurahi kutangazwa mshindi kwa asilimia 84.4% alitaka atangazwe mshindi kwa asilimia kuanzia 92%.
Taarifa zinasema jikoni joto kali sana, Jiwe na jopo lake wanazinguana. Yajayo yatafurahisha. Walikubali kusaini mikataba na shetani! #TutaelewanaTu
 
Baada ya mm kutokuridhishwa na matokeo yaliyotengenezwa na maharamia nililazimika kumgegeda Binti wa UVCCM mabao matano tarehe 29/10/2020 ili kuondoa hasira zangu.
 
These days people do not care anymore. Watu wapo busy mtaani na maisha yanaendelea as if nothing ever happened.

Watu wameanza kuzoea sasa kuishi bila internet. Maisha ya TZ yanakwenda kasi sana. Hata hao washindi wa CCM nao wapo busy kutweet kwa kutumia VPN. Namba tutaisoma sote!
Kadri siku zinavyozidi uchaguzi mkuu TZ utakua kama mahafali ya fm4..miaka ya nyuma yalikua ni dili sana ila miaka ya sasa hayana hamasa tena....ipo siku wataopiga kura hawatafika hata 12%
 
Back
Top Bottom