Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Yaani million 14 hawakupiga kura Tanzania tupo nyuma sana na dunia bado hatujielewi ,tupo tupo kama misukule hapa duniani
 
Ni shangwe tupu baada ya Mgombea urais kupitia CCM Ndugu John Pombe Magufuli kutangazwa kuwa Rais Mteule wa awamu ya sita kwa kura zaidi ya milioni 12 akimuacha mbali Mgombea wa Chadema Tundu Lissu.

KONGOLE Mh Rais John Pombe Magufuli.
 
Hongera Mr. President, mngeweka asilimia ingependeza sana, tumcheke vizuri Tundu, BTW flyovers 9 kuanza kujengwa Dar Jumatatu, ...
 
Yani manamba yote yale waliyokuwa wanampa wakitangaza matokeo ya kura za urais majimboni jumla yake ndio milioni kumi na mbili tu, NEC wameona aibu wamepunguza idadi ya kura za wizi.
 
Mwenzao Aida Khenan ameshinda ubunge kwenye wakati mgumu sana, si Mbowe wala Lisu aliyeenda kumuombea kura huko Nkasi , acha ale maisha tena bila makato ya kuchangia chama.

Ni aibu kubwa sana kwa Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee, Sugu kuzidiwa mbinu za medani katika kulinda kura na mtoto mdogo tena mwanamke Aida !
 
Back
Top Bottom