Tume ya taifa ya uchaguzi [nec] yafanya uteuzi wa mbunge viti maalum chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya taifa ya uchaguzi [nec] yafanya uteuzi wa mbunge viti maalum chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwakajilae, Feb 22, 2012.

 1. m

  mwakajilae Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tume ya Taifa Ya Uchaguzi Yaani NEC,Imefanya uteuzi kwa Kumteua mh.Cecilia Danieli Paresso aliyekuwa Diwani wa huko Karatu,kuziba nafasi ya ubunge wa Viti maalum iliyokuwa wazi baada ya Kifo cha Mh Regia Mtema.Uteuzi huu umefanyika tangu Tarehe 14.02.2012.Hii ni kwa mujibu wa taarifa nilizo zipata kutoka NEC.
  Uteuzi huu umekamilika mara baada ya taratibu zote za kimichakato inayohusiana na taratibu za NEC mara baada ya kuwasiliana na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo[CHADEMA] kwa ajili ya uthibitishaji wa mwisho,unaotokana na orodha ya majina iliyokuwa imewasilishwa na CHADEMA iliyotokana na mchakato wa kuwapata wabunge wa Vit Maalum ndani ya Chama.Wote mtakumbuka kwamba vigezo mbalimbali vilitumika katika kuwapata wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA.Vigezo vilivyoweza kufafanuliwa vizuri na aliyeombwa kuwa Mshauri Mwelekezi katika kusimamia zoezi hilo la namna ya kuwapata Wabunge hao,Dr Kitila Mkumbo.,ambapo kwa vigezo vile Mh Cecilia Danieli Paresso alikuwa namba 26 katika orodha ile,mara baada ya Mh Halima Mdee kushinda Ubunge Jimbo la Kawe kati ya wagombea 105 waliokuwa wameomba kuteuliwa na chama katika nafasi hiyo ya ubunge wa Viti Maalum,ambapo tuliambulia kupata viti 25 vya wabunge wa viti maalum.
  Binafsi namfahamu Cecilia Paresso kwa kufanya naye kazi za chama changu,Jamii itegemee nguzo muhimu inayokwenda kuongeza nguvu ya kimawazo katika kambi ya Upinzani lakini pia na Bunge zima.Huyu ana uzoefu mkubwa wa Udiwani,maana ametoka chini kabisa ambako ndiko Wananchi wanaotengeneza 80% ya Watanzania ndiko waliko,anajua nini Wananchi wanahoji na nini wanahitaji kifanyike.
  Kiufupi ni kwamba siyo mgeni katika siasa lakini hasa shughuli za kutumikia wananchi wenye itikadi tofauti.
  Naamini hii ni nguzo imara inayokwenda kuongeza nguvu katika medani ya Siasa,uchumi na Jamii ndani ya CHADEMA,ndani ya Bunge lakini zaidi nchini Tanzania.Kitaaluma ni Mwanasheria aliyehitimu na Kufuzu Sheria.Tumuunge mkono.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongera mbunge wa viti maalum
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hongereni watu wa Kaskazini.
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hongera yako ni ya kejeli
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mbona wewe umetoa hongera kuna mtu kakuambia kitu? Mkuu wewe upo moyoni kwangu mpaka useme hivyo?
   
 6. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2012
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,697
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Hongera dada; ila ukienda bungeni kapiganie viti maalum vifutwe. Maana vinawadhalilisha kwamba hamuwezi kupambana majimboni. Natamani vingefutwa hata kabla ya 2015 ili tupunguze idadi ya wabunge..huu ni mzigo kwa taifa kuwa na wabunge zaidi ya 385...
   
 7. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hongera kamanda na karibu kwenye urika wa wapambanaji na JF pia.
   
 8. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Next ukiambiwa Arumeru iko kaskazini usibishe,

  mleta mada tunaomba ubadili rangi inatuumiza macho wengine.
   
 9. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #9
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Hii si hoja. Hoja ni: NEC ina uhalali wowote wa Kisheria wa kuwateua Wabunge wa Viti Maalum? Kama ndio, kazi hiyo ilipokwa kutoka chama husika LINI na kwa kanuni ipi au sheria ipi?

   
 10. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama unajua unachoongea.
   
 11. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,939
  Likes Received: 1,476
  Trophy Points: 280
  ingetosha kusema hongera bila kuweka watu wa kaskazini
   
 12. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #12
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,779
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mleta mada tumia rangi ya njano! Jamaa wa Yanga inawaumiza roho iyo rangi...............
   
 13. M

  MYISANZU Senior Member

  #13
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana Mh.Pareso. Nakuomba uwe karibu na Regia's family.
   
 14. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  ritz;Hongereni watu wa Kaskazini.
  hongera kwa ccm kuendelea kuua raia wa nchi!mtatawala kina nani wakifa wote?
   
 15. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Sijui, nielimishe. Dont criticise UNLESS you are willing to EDUCATE! It is called CONSTRUCTIVE CRITICISM! Kapish?

   
 16. M

  Molemo JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu unafiki ni sawa na kula nyama ya mtu
   
 17. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hv kuna ulazima wa kuwa na viti maalum kwani bungeni hawatoshi wa majimbo hadi tuanze kupeana viti vya chupi!!!!!!
   
 18. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  hongera bibie kwa kuteuliwa. jipange kuwawakilisha watz wanyonge mjengoni!
   
 19. M

  MYISANZU Senior Member

  #19
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakutakia uwakilishi mwema bungeni na Mungu akubariki sana.
   
 20. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #20
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwake huyu Ridhiwani Kikwete huwa nachoka kabisa!!!!!!! Taahira si taahira vile ila wakati mwingine hua anaibuka na hoja kweli hata hivo.


   
Loading...