Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wekeni takwimu za wapiga kura kwenye website yenu

mnyawusi

Senior Member
Apr 1, 2012
169
254
Wadau wa JF, nawasalimuni nyote.

Kwa siku za karibuni nimekuwa nikipitia website ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kupata takwimu za masuala mbalimbali yanayohusu uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020.

Kwa bahati mbaya sehemu yenye kuonesha takwimu za wapiga kura, takwimu hizo hazipo badala yake imeandikwa 'kazi inaendelea'

Nadhani ulikuwa ni wakati muhimu wa kuweka takwimu hizo kwa mfano tunajua waliojiandikisha ni milioni 29 na kidogo lakini ingewekwa kwenye website ikachambuliwa mpaka mgawanyo wa wapiga kura kwa mikoa au majimbo na masuala ya jinsia ingependeza zaidi.

Ni ushauri wangu kwenu NEC.
 
Naombeni mnisaidie namna ya kutengeneza mabomu ya petroli. Yanauliziwa na vijana wengi Sana.
 
Back
Top Bottom