Tume ya Taifa(NEC), watoe tangazo rasmi la kuzuia kuhamahama vyama

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,078
2,000
Kwa heshima na taadhima niwaombe Tume ya Taifa(NEC)watoe tangazo rasmi la kuzuia kuhamahama vyama bila utaratibu kuanzia leo. Kwamba iwe ni marufuku kwa mtu yeyote aliyechaguliwa kwa kura kuwa Mbunge au Diwani (kwa kupigiwa kura au kuteuliwa)kuhama chama kwasababu za kishabiki tu!!!Hii ni kwasababu kama NEC wataendelea kuruhusu Wabunge na Madiwani kuhama hama bila utaratibu kunalisabishia Taifa kuingia gharama za mamilioni/Mabilioni kurudia chaguzi kwenye majimbo na kata husika!!!

NEC waweke wazi na kuwe na sheria rasmi ya kwamba Uchaguzi utarudiwa tu pale Mbunge au Diwani anapojiuzulu kwasababu za Kiafya/Ugonjwa, Mbunge anapofariki au kubatilisha Uraia wa Tanzania. Kuanzia sasa iwe ni marufuku kujiuzulu na kuhama chama ukiwa Mbunge au Diwani kwani watu walipochagua walichagua sera za Chama na siyo mtu. Madai ya kuwa Diwani au Mbunge anahama chama ati kufuata Utawala ambao yeye haukumpa Ubunge au Udiwani ni ulimbukeni.

Kama NEC watanyamzia hili jambo nchi itajikuta inaingia kwenye gharama mpya za marudio ya Uchaguzi. Nitakuwa tayari kuwaunga mkono NEC iwapo wataweka wazi kuwa pale Mbunge au Diwani anapojiuzulu basi yule aliyekuwa mshindi wa PILI kwenye Uchaguzi Mkuu apewe hiyo nafasi ya Ubunge au Udiwani. Hii itasaidia kuepusha gharama za kipuuzi na zisizo za lazima. Wale wote wanaojiuzulu wasiruhusiwe kugombea nafasi za Ubunge au Udiwani mpaka Uchaguzi Mkuu mwingine unaofuata na si vinginevo.

Naomba kuwasilisha.
 
mshipa

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
11,631
2,000
Sasa Nec watoe tangazo la kuzuia kuhama/kujiuzulu kwa kutumia sheria ipi?
 
crocodile

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,012
2,000
Sasa Nec watoe tangazo la kuzuia kuhama/kujiuzulu kwa kutumia sheria ipi?
Kajamaa kame panic hako. Eti watu walichagua sera za chama sio mtu!! Vingeshindana vyama basi , halafu mshindi ndio aweke Mbunge wake wa kuongoza jimbo baadae. Again, kame-panic.
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,417
2,000
Kwa heshima na taadhima niwaombe Tume ya Taifa(NEC)watoe tangazo rasmi la kuzuia kuhamahama vyama bila utaratibu kuanzia leo. Kwamba iwe ni marufuku kwa mtu yeyote aliyechaguliwa kwa kura kuwa Mbunge au Diwani (kwa kupigiwa kura au kuteuliwa)kuhama chama kwasababu za kishabiki tu!!!Hii ni kwasababu kama NEC wataendelea kuruhusu Wabunge na Madiwani kuhama hama bila utaratibu kunalisabishia Taifa kuingia gharama za mamilioni/Mabilioni kurudia chaguzi kwenye majimbo na kata husika!!!

NEC waweke wazi na kuwe na sheria rasmi ya kwamba Uchaguzi utarudiwa tu pale Mbunge au Diwani anapojiuzulu kwasababu za Kiafya/Ugonjwa, Mbunge anapofariki au kubatilisha Uraia wa Tanzania. Kuanzia sasa iwe ni marufuku kujiuzulu na kuhama chama ukiwa Mbunge au Diwani kwani watu walipochagua walichagua sera za Chama na siyo mtu. Madai ya kuwa Diwani au Mbunge anahama chama ati kufuata Utawala ambao yeye haukumpa Ubunge au Udiwani ni ulimbukeni.

Kama NEC watanyamzia hili jambo nchi itajikuta inaingia kwenye gharama mpya za marudio ya Uchaguzi. Nitakuwa tayari kuwaunga mkono NEC iwapo wataweka wazi kuwa pale Mbunge au Diwani anapojiuzulu basi yule aliyekuwa mshindi wa PILI kwenye Uchaguzi Mkuu apewe hiyo nafasi ya Ubunge au Udiwani. Hii itasaidia kuepusha gharama za kipuuzi na zisizo za lazima. Wale wote wanaojiuzulu wasiruhusiwe kugombea nafasi za Ubunge au Udiwani mpaka Uchaguzi Mkuu mwingine unaofuata na si vinginevo.

Naomba kuwasilisha.
Mbona unamalizia kwa kufagilia njia! Kwa huyo baada ya mbunge wa CUF kwenda CCM yule mgombea wa CCM aliyeshindwa kupora bunge sasa apewe ubunge kiulaini! Biashara yetu sasa itakua bila jasho.
 
MaxMase

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
766
1,000
Kwa heshima na taadhima niwaombe Tume ya Taifa(NEC)watoe tangazo rasmi la kuzuia kuhamahama vyama bila utaratibu kuanzia leo. Kwamba iwe ni marufuku kwa mtu yeyote aliyechaguliwa kwa kura kuwa Mbunge au Diwani (kwa kupigiwa kura au kuteuliwa)kuhama chama kwasababu za kishabiki tu!!!Hii ni kwasababu kama NEC wataendelea kuruhusu Wabunge na Madiwani kuhama hama bila utaratibu kunalisabishia Taifa kuingia gharama za mamilioni/Mabilioni kurudia chaguzi kwenye majimbo na kata husika!!!

NEC waweke wazi na kuwe na sheria rasmi ya kwamba Uchaguzi utarudiwa tu pale Mbunge au Diwani anapojiuzulu kwasababu za Kiafya/Ugonjwa, Mbunge anapofariki au kubatilisha Uraia wa Tanzania. Kuanzia sasa iwe ni marufuku kujiuzulu na kuhama chama ukiwa Mbunge au Diwani kwani watu walipochagua walichagua sera za Chama na siyo mtu. Madai ya kuwa Diwani au Mbunge anahama chama ati kufuata Utawala ambao yeye haukumpa Ubunge au Udiwani ni ulimbukeni.

Kama NEC watanyamzia hili jambo nchi itajikuta inaingia kwenye gharama mpya za marudio ya Uchaguzi. Nitakuwa tayari kuwaunga mkono NEC iwapo wataweka wazi kuwa pale Mbunge au Diwani anapojiuzulu basi yule aliyekuwa mshindi wa PILI kwenye Uchaguzi Mkuu apewe hiyo nafasi ya Ubunge au Udiwani. Hii itasaidia kuepusha gharama za kipuuzi na zisizo za lazima. Wale wote wanaojiuzulu wasiruhusiwe kugombea nafasi za Ubunge au Udiwani mpaka Uchaguzi Mkuu mwingine unaofuata na si vinginevo.

Naomba kuwasilisha.
Hiyo siyo kazi ya NEC hiyo ni ya msajili wa vyama vya siasa kazi ya nec ni kusimamia uchaguzi na siyo nyingine.
 
mgodi

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,734
2,000
Wangekuwa wanatoka ccm kwenda cdm, basi wazo lako lingepokelewa kwa mikono miwili
 
Morinyo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
2,782
2,000
Nec wapo kisheria na wanafanya kazi kisheria. Mawazo yako wapelekee wabunge wayatungie sheria.
 
Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,305
2,000
Kwa heshima na taadhima niwaombe Tume ya Taifa(NEC)watoe tangazo rasmi la kuzuia kuhamahama vyama bila utaratibu kuanzia leo. Kwamba iwe ni marufuku kwa mtu yeyote aliyechaguliwa kwa kura kuwa Mbunge au Diwani (kwa kupigiwa kura au kuteuliwa)kuhama chama kwasababu za kishabiki tu!!!Hii ni kwasababu kama NEC wataendelea kuruhusu Wabunge na Madiwani kuhama hama bila utaratibu kunalisabishia Taifa kuingia gharama za mamilioni/Mabilioni kurudia chaguzi kwenye majimbo na kata husika!!!

NEC waweke wazi na kuwe na sheria rasmi ya kwamba Uchaguzi utarudiwa tu pale Mbunge au Diwani anapojiuzulu kwasababu za Kiafya/Ugonjwa, Mbunge anapofariki au kubatilisha Uraia wa Tanzania. Kuanzia sasa iwe ni marufuku kujiuzulu na kuhama chama ukiwa Mbunge au Diwani kwani watu walipochagua walichagua sera za Chama na siyo mtu. Madai ya kuwa Diwani au Mbunge anahama chama ati kufuata Utawala ambao yeye haukumpa Ubunge au Udiwani ni ulimbukeni.

Kama NEC watanyamzia hili jambo nchi itajikuta inaingia kwenye gharama mpya za marudio ya Uchaguzi. Nitakuwa tayari kuwaunga mkono NEC iwapo wataweka wazi kuwa pale Mbunge au Diwani anapojiuzulu basi yule aliyekuwa mshindi wa PILI kwenye Uchaguzi Mkuu apewe hiyo nafasi ya Ubunge au Udiwani. Hii itasaidia kuepusha gharama za kipuuzi na zisizo za lazima. Wale wote wanaojiuzulu wasiruhusiwe kugombea nafasi za Ubunge au Udiwani mpaka Uchaguzi Mkuu mwingine unaofuata na si vinginevo.

Naomba kuwasilisha.
Kujiuzulu wadhifa fulani ni haki ya Mtu
Kuhama Dini fulani ni haki ya Mtu
Kuhama itikadi ya Siasa pia ni haki ya Mtu

Sasa wewe unatuambia kuwa wakihama wapigwe Marufuku kuacha Ubunge na Udiwani Kivipi?

Hembu tuboreshee kidogo labda una wazo zuri hatujakuelewa.
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,078
2,000
Kujiuzulu wadhifa fulani ni haki ya Mtu
Kuhama Dini fulani ni haki ya Mtu
Kuhama itikadi ya Siasa pia ni haki ya Mtu

Sasa wewe unatuambia kuwa wakihama wapigwe Marufuku kuacha Ubunge na Udiwani Kivipi?

Hembu tuboreshee kidogo labda una wazo zuri hatujakuelewa.

Kwa hiyo unataka kusema leo Magufuli akitaka kuhamia CHADEMA ahame tu???
Lazima tuwe na sheria inayosimamia huu uhamaji usio na mpango unaolisababishia Taifa gharama za kurudia Uchaguzi usio wa lazima.
Ninajua the hideden agenda hapa ni kwamba watu wananunuliwa Wabunge kwa Madiwani na wakishahamia CCM kinachofuata ni Uchaguzi Fake ambao NEC wanahakikisha CCM wanashinda Udiwani na Ubunge kila jimbo wanapojiuzulu.
This is rubbish na haikubaliki katika nchi yoyote yenye Utawala wa Haki, Sheria na Demokrasia ya kweli....!!
Watanzania wanajua na dunia inajua nini kinaendelea nyuma ya pazia....!!!

Lakini CCM wajue kuwa hata Robert Mugabe alikuwa akifikiri Wazimbabwe wanampenda kumbe walimshachoka kitambo sana.......!!CCM likewise wasipemde kulazimisha kupendwa na Watz wakati walishawachoka....!!
Kuchokwa kwa CCM kunajionyesha katika kila Uchaguzi Mkuu na chaguzi za marudio jinsi wanavotumia nguvu kubwa kuhakikisha WAMEIBA KURA kwa kutumia POLISI, TISS, NEC, WASIMAMIZI WA UCHAGUZI(Wakurugenzi wa MAJIJI/HALMASHAURI)...!!
 
Thread yako inatuma ombi la mabadiluko unayotaka kwa NEC

Halafu tena hao hao NEC unawalaumu kutokutenda haki. Sasa tukueleweje???
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,585
2,000
Thread yako inatuma ombi la mabadiluko unayotaka kwa NEC

Halafu tena hao hao NEC unawalaumu kutokutenda haki. Sasa tukueleweje???
Kachanganyikiwa huyo,amenusa jambo baya kwa chama chake,anajamba jamba hovyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom