Tume ya Sayansi na Technologia (COSTECH) – Kijitonyama

bornagain

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
3,383
1,354
Wanajamii samahani kama swali hili litakuwa lilishaulizwa hapo mwanzo maana wengine ndiyo kwanza tuna mwaka tumejiunga na JF. Swali langu laleo nataka kufahamishwa kazi za hii tume ya Sayansi na Technologia maana sijawahi hata kusikia kuwa wamevumbua kiberiti ama kitu chochote cha maana zaidi ya kupita kwenye zile ofisi na kukuta majitaka mpaka mlangoni na pia wakati wa usiku ni giza totoro inasadikika kuwa wananunua umeme wa luku kwa matumizi ya muda wa kazi then muda wa kazi ukiisha na luku inaisha na inatakiwa usubirie mpaka kesho wakinunua tena.
Sasa tume ya sayansi imezungukwa na maji machafu plus hawana umeme which means hata kufanya utafiti ni kazi sana. Kwa kusema hayo please ambae anajua uvumbuzi wa tume hii tokea ianzishwe alielezee jamvi ama mwenye kujua kazi za hii tume ya science atuelezee maana naona wanakula mshahara tu wa bure basi
 
ni Taasisi ambayo watu wanakula mshahara tuu kama ilivyo TIRDO,NPI,RTC etc na wazee wastaafu kuchota pesa kwa tafiti zisizotekelezwa na serikali.Hakuna vijana wa kuichangamsha taasisi
 
Hizi ni tume zisizo na tija kwa taifa. ni kupeana ulaji tu.
Kwanza sina uhakika kama wana wataalamu waliobobea. Ngoja tusubiri michango ya wadau labda yapo wanayo yafahamu.
 
Back
Top Bottom